WCB na mikataba ya ajabu: Ndio maana muziki wa Tanzania hauendelei

Mkataba alishikiwa bunduki kusaini??
 
Kwa nini useme alisainishwa miaka kumi na tano,badala ya alisaini miaka kumi na tano.

Hakuna aliyemlazimisha kusaini, alisaini mkataba yeye mwenyewe.
 
inaonekana hujui chochote kuhusu mikataba ya wasanii mbalimbali duniani....pole sana
 
Watajua wapi?

Mikataba ya wenzetu haiwabani kuwa lebo zao ila hapa bongo unapigwa ban hata kufanya collabo na msanii fulani na fulani.
Sio mikataba inabanwa, ndio maana mazungumzo huwa yanafanyika kurekebisha baadhi ya vipengele vya mkataba.

Ukiona haikulipi sio lazima usaini.Hakuna anayelazimisha mtu asaini.
 

Hilo pia ni kosa. Iwapo Diamond alimwona harmonize ana potential, alitakiwa aweke kwenye mkataba kuwa Kampuni itamkopesha shillingi kadhaa kama branding cost ambazo anatakiwa azirudishe katika kipindi fulani labda na interest ya kiasi fulani. Niliwahi kusoma kuwa alipewa gari fulani kwa mkopo na akarudisha mkopo ule kwa muda mfupi sana. Kila hela inaytumiwa na kampuni kumjenga msanii inatakiwa iwe documented na kuwe na terms za kuirudisha.

Makosa hapa siyo ya Diamond binasi au ya Harmonize binafsi, bali ni ya wanasheria wao pande zote mbili.
 
Una mindset ndogo Sana ndugu yangu " Hakuna mfanyabiashara asietaka faida na ukiingia kwenye biashara ya mikataba ww Tayar ni bepari Alafu pili unavyo sain mikataba wl hawakushikii mtutu unapewe unasoma na kuelewa ndipo anaangusha saini yko, swala la mda Mbn kanye west kasain mkataba wa milele mpk afe kwaiyo hle n biashara Ange feli mngesema anasin watu wasio kuwa na vipaji jaribu kukuza mindset yko
 
Power breakfast channel gani?......... Maelezo yako ya jumla jumla yanafanya story yako kutokuwa kweli
 
Power breakfast channel gani?......... Maelezo yako ya jumla jumla yanafanya story yako kutokuwa kweli
Kama hujui kitu unakausha unapita kushoto unaendelea na mambo mengine we unajua power breakfast ya Clouds fm tu pole sanaaa hujui hata hilo jina la kipindi walilitoa wapi.
.
Power 105.1 kipindi maarufu New york na Duniani huko mlikotoka mnaangaliaga taarifa za habari tu?
 
Lkn kipind unahitaji kutoka kimziki Wala hukuona km inakubana watu wanvyotia tia hela kwenye kaz zako wanakubrand vizur baada ya kutoka na kukutafutia connection Ndio unaona sasa wananibana km unaelewa Hakuna anaye taka apate hasara kwenye biashara n swala la mda tu
 
Wapi nimesema wcb walikuwa hawawekezi kwa harmo?

My point ni kwamba wanatumia nguvu kubwa kumpromote mtu wakat wanachotakiwa ni kazi za msanii ndio zijipromote.
 
Kwani uo mkataba ndo kausoma leo? mind you huyu jamaa kaanzia pale from scratch wakampika akaiva so we unategemea maandaliz yake yangechukua siku kumi? tatizo la vijana mnapenda shortcuts sana
 
Ndio maana anasaini wasanii kwa mikataba ya kibeberu sana, sababu anajua lazima itafika muda watampiku tuu.
Kwani ni lazima kusaini...? we mbona huangalii before unaangalia after....kama unaona mikataba ni ya kibeberu kawaambia undergrounds wote usituambie sisi..watu wakae wakubaliane wawekeshane saini alafu leo hii mmoja aje aanze kusema oooh..sijui mkataba sio kwani wakat wa kuusoma na kuwekeshana saini alikua wapi? au uliandikwa kichinaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…