WCB na mikataba ya ajabu: Ndio maana muziki wa Tanzania hauendelei

😂😂😂😂😂mkuuu naona umebobea kwenye hizi vitu,anyway pamoja na haya yote lkn kumbuka pia kila mkataba inakuwa na vipengele maalum znazomlinda mteja,pengine kweny hii contract ya hormonice hana maslahi mapana Juu ya kila anachokifanya,rejea kilichomtoa lil Wayne "cash money " ni nn,VP kuhus #young thung,tony hayo kujitoa #g-unit"now elewa kukaa miaka mingi sio tatzo Bali unanufaika na
 
Waliompiku kimafanikio kwenye game ya muziki wa kizazi kipya.
Kwa umaarufu game ya muziki amewapiku wasanii wengi ila kwa mafanikio ya kimaisha utakua unadanganya mkuu, embu nitajie asset yoyote anayomiliki
 
Binafsi sikuwahi kumpenda Harmonize na sidhani kama namkubali, same feeling ni kwa Rayvanny na mwenzie Lavalava. Ila kwa sasa bitterness imepungua kwa harmonize sababu ya kazi zake za kuvutia ila hao wengine bado hawajanikonga nyoyo.

Kimsingi WCB imetumia effort nyingi sana kuwafanya hao jamaa wakubalike.
 
Kwa umaarufu game ya muziki amewapiku wasanii wengi ila kwa mafanikio ya kimaisha utakua unadanganya mkuu, embu nitajie asset yoyote anayomiliki
Nadhani siku hizi ubishani wa kwenye vijiwe umeshamalizwa na technology, just Google and you gonna get all the answers you need.
 
Wasanii wote wa WCB walikua ma underground diamond amewachukua akawa brand na leo wanavuma...ushawahi kufikiria je uwekezaji usingelipa bado mungemlaumu?...hii maana yake msanii asipofanya vizuri hasara n kwa diamond na atakua na jukumu la kuweka pesa nyingi ili avume...mbn mnalisahau hili
 
Inasemekana harmonize haruhusiwi kuperfom wimbo wowote alioutengeneza chini ya wasafi baada ya kuvunja mkataba
 
Inasemekana harmonize haruhusiwi kuperfom wimbo wowote alioutengeneza chini ya wasafi baada ya kuvunja mkataba
Mkuu wewe piga kimya, maana tukisema mikataba imekaa kinyonyaji hatueleweki. Time will tell the tale.
 
Inasemekana harmonize haruhusiwi kuperfom wimbo wowote alioutengeneza chini ya wasafi baada ya kuvunja mkataba
Kaangalie tamasha lilofanyika juzi jumamosi la One,lilofanyikia London.Sometimes kama huna cha kuongea kaa kimya,kuliko kuongopa.
 
Nadhani siku hizi ubishani wa kwenye vijiwe umeshamalizwa na technology, just Google and you gonna get all the answers you need.
Nikigoogle ndio inaniletea majibu ya umaarufu hakuna assets zozote mkuu
 
Acha Harmonize Konde Boy aruke kwa mbawa zake mbona Diamond Platnumz alijiondoa AL JAZEERA Ent. ya Papaa Misifa akaanzisha WCB ndiyo akashine! Namtakia kila la heri Harmo.
 
Huyo sindiyo alikuwa anamlalamikia marehemu Ruge kuwa anawanyonya wasanii?
 
Nikigoogle ndio inaniletea majibu ya umaarufu hakuna assets zozote mkuu
Uliza Google(in English) assets wanazomiliki,bank accounts zao, nani anaongoza kwa utajiri(at least top 10) na utapata majibu bila ya wasiwasi.
 
Huyo sindiyo alikuwa anamlalamikia marehemu Ruge kuwa anawanyonya wasanii?
Mzee kusainiwa miaka 10 kwa msanii mchanga ambaye hajawai kutoa wimbo wowote ambaye hujui Kama badae uwekezaji wako utakulipa au utakula hasara je huo ndo unyonyaji?
 
Uliza Google(in English) assets wanazomiliki,bank accounts zao, nani anaongoza kwa utajiri(at least top 10) na utapata majibu bila ya wasiwasi.
Hakuna kitu mzee itakua labda forbes wamemsahau pengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…