WCB ndio imeshikilia Bongo Fleva kwa sasa, very creative label

WCB ndio imeshikilia Bongo Fleva kwa sasa, very creative label

Hahahahahah huwa najua kuwatoa sana watu kwenye mstari hasa chawa kama wewe.
Una kazi gani wewe uchawa nayo ni kazi?
hebu Smart Guy uje hapa umtajie kazi yangu huyu kima hapa tuone..

Siku ukijua kuwa mama yako na wewe mnapata kula kwangu yaani nawalisha ndo utafunga domo lako.

Note; huwa namjibu mtu kutokana na anavyokuja
😂😂😂😂 Naona unamuita Basha wako.Huna hela wewe,usingekuwa unashinda jf mchana wote.

NB:Ukifalitia majibu yako yote kuja kwangu,utagundua kuwa mimi pia nimekujibu kwa kadri ulivyokuja.
 
Back
Top Bottom