shayrose
JF-Expert Member
- Jul 12, 2017
- 369
- 411
Kwanza diamond hana mashabiki bali ana wanachama.kupitia kwa diamond ndio maana kina lavalava,rayyvan,harmonize wana mashabiki lukuki na ndio maana endapo utataja top20 ya wasanii bora huwez kuacha kuwataja na wasanii wa wcb hvyo diamond ni jeshi la mtu mmoja lililoweza kuwapa nguvu anao washika mikono
Kiba anapata sapoti kutoka kwa mashabiki wake,mashabiki wa wema wa joketi wa mange na mashabik wa dimpoz na sasa wameongezeka mashabiki wa hamisa
Pamoja na kiba kusapotiwa na kundi kubwa la watu kwenye mitandao ila diamond anapambana peke ake yaan n jeshi la mtu mmoja na ana wapeleka puta maadui zake
HAKIKA DIAMOND SIO WA MCHEZO MCHEZO