WCB ni jeshi la mtu mmoja na alikiba ni muungano wa timu zipatazo 5

shayrose

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2017
Posts
369
Reaction score
411
Kwanza diamond hana mashabiki bali ana wanachama.kupitia kwa diamond ndio maana kina lavalava,rayyvan,harmonize wana mashabiki lukuki na ndio maana endapo utataja top20 ya wasanii bora huwez kuacha kuwataja na wasanii wa wcb hvyo diamond ni jeshi la mtu mmoja lililoweza kuwapa nguvu anao washika mikono

Kiba anapata sapoti kutoka kwa mashabiki wake,mashabiki wa wema wa joketi wa mange na mashabik wa dimpoz na sasa wameongezeka mashabiki wa hamisa

Pamoja na kiba kusapotiwa na kundi kubwa la watu kwenye mitandao ila diamond anapambana peke ake yaan n jeshi la mtu mmoja na ana wapeleka puta maadui zake

HAKIKA DIAMOND SIO WA MCHEZO MCHEZO
 
JIPE MOYO tuimbe tena " watoto wangu eeeeh, mimi baba yenu, sina nguvu tena, za kuua tembo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diamond angekua wa kawaida angeshapotea siku nyingi.pamoja na kiba kupata msaada wa mashabiki wa watu wasio mpenda mond lakini mond bado anaunguruma tu
 
I

Ina maana baada ya kiba kutoa nyimbo ndio wcb wakaingia studio wakarekod then wakashoot video wakaitoa kwa cku hyo hyo
Mimi nimeongelea nyimbo ya WCB..?? Mimi naongelea Panic ya Mondi na kundi lake

Yani kitendo cha wewe kukurupuka na kusema mambo ya shooting, video angali mimi sijaongelea hilo, ni wazi Kiba amewapanikisha vibaya mno..

Relax
 
Wimbo anatoa mda wowote wanaotaka wao,wanauwezo wa kutoa wimbo kwa kila saa kwa muda wa siku 365 na nyengine zikabaki stoo
 
Kwanza diamond hana mashabiki bali ana wanachama.kupitia kwa diamond ndio maana kina lavalava,rayyvan,harmonize wana mashabiki lukuki na ndio maana endapo utataja top20 ya wasanii bora huwez kuacha kuwataja na wasanii wa wcb hvyo diamond ni jeshi la mtu mmoja lililoweza kuwapa nguvu anao washika mikono

Kiba anapata sapoti kutoka kwa mashabiki wake,mashabiki wa wema wa joketi wa mange na mashabik wa dimpoz na sasa wameongezeka mashabiki wa hamisa

Pamoja na kiba kusapotiwa na kundi kubwa la watu kwenye mitandao ila diamond anapambana peke ake yaan n jeshi la mtu mmoja na ana wapeleka puta maadui zake

HAKIKA DIAMOND SIO WA MCHEZO MCHEZO
umesahau na mashabiki wa Carry Mastori na wao pia ni team kiba
 
Diamond sio wa mchezo aisee.... Kiba dadeki zake anasapotiwa na timu zaidi ya 5 ila bado anafanya madudu...
Na ile video yake ya "Seduce Me" sijui alitolea TECNO W3 duuuh mbofuuuu mbofuuu!!!!....
[emoji23] [emoji23][emoji276] [emoji276]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I

Ina maana baada ya kiba kutoa nyimbo ndio wcb wakaingia studio wakarekod then wakashoot video wakaitoa kwa cku hyo hyo
Hana akili huyoooo,kwa hyo harmknizekarud toka Nigeria

Mashabiki wa kiba na team zao zote bado wanakaaa kwa SIMBA
 
Kwanza diamond hana mashabiki bali ana wanachama.kupitia kwa diamond ndio maana kina lavalava,rayyvan,harmonize wana mashabiki lukuki na ndio maana endapo utataja top20 ya wasanii bora huwez kuacha kuwataja na wasanii wa wcb hvyo diamond ni jeshi la mtu mmoja lililoweza kuwapa nguvu anao washika mikono

Kiba anapata sapoti kutoka kwa mashabiki wake,mashabiki wa wema wa joketi wa mange na mashabik wa dimpoz na sasa wameongezeka mashabiki wa hamisa

Pamoja na kiba kusapotiwa na kundi kubwa la watu kwenye mitandao ila diamond anapambana peke ake yaan n jeshi la mtu mmoja na ana wapeleka puta maadui zake

HAKIKA DIAMOND SIO WA MCHEZO MCHEZO
Pumbaaaaaaaaa tupu! Hahahaha
 
Diamond sio wa mchezo aisee.... Kiba dadeki zake anasapotiwa na timu zaidi ya 5 ila bado anafanya madudu...
Na ile video yake ya "Seduce Me" sijui alitolea TECNO W3 duuuh mbofuuuu mbofuuu!!!!....
[emoji23] [emoji23][emoji276] [emoji276]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ninewaambia wengi sana,na wengine walikua wakinijia na POVU nawauliza,we ni team kiba,WEMA,JOKATE, HAMISA, nuh MZIWANDA au naniiii??? LAKINI WOTE NI TEAM VIPUSA TU ZA KIKEKIKE TU
 
Back
Top Bottom