Denis denny
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 5,780
- 7,844
Nimepita nimemtupia na kavideo Niki seduce..Thanks. Kama una safari yoyote inayotumia fastjet, ticket kwangu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi umepita Upande ule wa Dada Mkubwa wa USA uone balaa lake la leo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kwa kufichwa hukooo...Nimepita nimemtupia na kavideo Niki seduce..
Bora nipande ndege Leo haha
Niambie unauhakika kiasi gani na unachokiiongea?Kwanza diamond hana mashabiki bali ana wanachama.kupitia kwa diamond ndio maana kina lavalava,rayyvan,harmonize wana mashabiki lukuki na ndio maana endapo utataja top20 ya wasanii bora huwez kuacha kuwataja na wasanii wa wcb hvyo diamond ni jeshi la mtu mmoja lililoweza kuwapa nguvu anao washika mikono
Kiba anapata sapoti kutoka kwa mashabiki wake,mashabiki wa wema wa joketi wa mange na mashabik wa dimpoz na sasa wameongezeka mashabiki wa hamisa
Pamoja na kiba kusapotiwa na kundi kubwa la watu kwenye mitandao ila diamond anapambana peke ake yaan n jeshi la mtu mmoja na ana wapeleka puta maadui zake
HAKIKA DIAMOND SIO WA MCHEZO MCHEZO
Hapana Mumy nipo available sana.Sio kwa kufichwa hukooo...
Yo too smart dadaa....... [emoji444] [emoji445] [emoji443]
huyo na haujui mziki.I
Ina maana baada ya kiba kutoa nyimbo ndio wcb wakaingia studio wakarekod then wakashoot video wakaitoa kwa cku hyo hyo
Jamaaaniii... Mie nipo mamy akee... Mzima wewe lakinii...Hapana Mumy nipo available sana.
Wewe ndiyo umefichwa unatoka usiku kwa usiku.
Mwimbo mrefu kama mkojo wa mlevi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jimbo lote la domo linataja majina ya watu utafikiri tuko rokoo ya shule halafu limwimbo lileru kama treni ya kati