WCB ni jeshi la mtu mmoja na alikiba ni muungano wa timu zipatazo 5

Kama kawaida jeshi la mtu mmoja mwenye uwezo wa kumfanya kila anayemshika mkono awe mkubwaa tofauti na yule ambae ana mdogo wake anaitwa abdul hadi sasa ni underground mkongwe

Queen darling umemsahau nae ameshakua wa kimataifaeeeh...
 
Kwahyo unajaribu kusema kuwa team WCB hawamchukii kiba
Kiba alianza yeye kutengeneza makundi kati yeye na dai wakati anataka kutoa wimbo wa mwana sasa sisi kama wanachama wa dai tukasimama kisawasawa hadi leo hvyo chuki aalianza nayo kiba ni vile tu anayeanza haonikani mbaya mmalizaji ndo mbaya
 
Hakika wewe niiiiii.... Malomboso ati.. [emoji51][emoji51][emoji51]
Hapana mie ni miongoni mwa mashabiki zake wanaojaa wakati ana fanya shoo tena hata aamue kufanya shoo ya kiingilio milion tunajaaa
 
Umetumia kigezo kipi kusema zimebuma
 
Nini maana ya kukopi tuanzie hapo kwanza
 
Ndio ukweli huo mkuu jamaa amepata msaada wa mashabiki kutoka kwa wanao mchukia mond ila mond yuko peke ake anapambana nao vizuri tu
atakuwaje peke yake wakati wewe uko pamoja nae?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…