WCB ni jeshi la mtu mmoja na alikiba ni muungano wa timu zipatazo 5

Tuliozaliwa miaka ya 50s hapatuhusu hapa
 
hizi nyimbo ni kweli zimebuma
 
Na bado mtatafutana sana, yaani ngoma moja tu mnatapatapa kila kona, moja haikai wala mbili haisimami!!!
Yoooooh!!
huyu naye mzushi tu, huyo mond anamashabaki kibao, tukianza na mashabaki wake mwenyewe,
mashabiki wa Zari wa ug na tz,
mashabiki wa moze iyobo na baby mama ake,
mashabiki wa bashite,
mashabiki wa le mutuz,
mashabiki wa harmo + mzungu wake,
mashabiki wa babu tale,
mashabiki wa sallam,
mashabiki wa rey van,
hapo sijaweka wa richmavoko, bi sandra, esma n.k n.k.
hilo jeshi la mtu mmoja kweli?
 
Kama kawaida jeshi la mtu mmoja mwenye uwezo wa kumfanya kila anayemshika mkono awe mkubwaa tofauti na yule ambae ana mdogo wake anaitwa abdul hadi sasa ni underground mkongwe
Kiba hana strategic huwa ni lazima ajibust kwa kutafuta vichokonoko kwa Mond ila wahenga tunammanya sana Mond...Mond ni moja ya Tunu za Taifa!
 
Ndio ukweli wenyewe huo dai yupo peke ake na mashabik zake huyo mwengine kapata msaada baada ya maadui wa dai kuungana
Jitahidi kujikubalisha mawazo yako lakini usiforce tufanane mawazo.
Sio wote tunaishi kiswahili au tunapenda kitu kwasababu ya wivu wa maendeleo au chuki binafsi. Acheni kuwa negative all the time.
Mwenye kujielewa anakuwa na category zake kwenye swala la mziki.
Bila kujali uteam kitu kizuri lazima kisifiwe
 
Ukizungumzia biashara ya mziki hapa Tanzania,Intelligensia kubwa inayotumika kufanikisha biashara ya Mziki Tanzania,Hakiri kubwa iliyowekezwa kufanikisha Biashara ya Mziki Tanzania. Na vingine vyote vizuri hakika huwezi linganisha Alikiba na Diamond!!!

Na hata ukilinganisha maana yake unataka kumpa promo ambaye hana sifa ya kulinganishwa na Mtaalamu wa biashara ya Mziki!!!

Kuanzia leo tafadhali sana kulinganisha Diamond vs Alikiba kwenye Biashara hii ya Mziki!!!

Diamond si wa bongo kwa kulinganishwa! N wa kimataifa!!
Kiba unaweza mpambanisha na wasanii wa bongo lkn si Diamond.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiba amepata sapoti kubwa sana kutoka kwa mange.. Nahisi ile vita yake ya siasa sasa amehamishia kwa mond. Bashite ndo mshindi hongera Mh rc.

Sent using Jamii Forums mobile app
iSIASA imemshinda sa hivi,anadai democracy lakini ulinambia kweli ana kublock sa sijui democracy gani anayotaka wakati the pillars of democracy tu ya tolerance inamshinda,ndo mana siku hizi watu wanamdharau tu
 
Vip kuhusu mashabiki wa Zari,Raymond,Rich Mavoko,Harmonize,Lavalava

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli huo ndo hawautaki sasa,wacha wanyooke tu
 
Diamond anatia hasira jamani hahaa kuna watu watapewa mashuka Na net kabisa iliwakae miaka miwili ndo watoe tena nyimbo zao zinazoishia kibaha simbaaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23] ka ma mazuri vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…