Watu vipaji vya kutunga vimeshaisha baada ya mwezi ndo anapata mstari mmoja lazma akae mwaka mzima ndo aweze kukamilisha ngoma moja maadui wa mond wanamsaidia sana walaiDiamond anatia hasira jamani hahaa kuna watu watapewa mashuka Na net kabisa iliwakae miaka miwili ndo watoe tena nyimbo zao zinazoishia kibaha simbaaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23] ka ma mazuri vile
Kabla ya zari kuwa na dai hakua na mashabiki wa maana ila baada ya kua na dai umaarufu wake ukaongezeka kwa sababu mashabiki wa mond nao wakawa wa zariVip kuhusu mashabiki wa Zari,Raymond,Rich Mavoko,Harmonize,Lavalava
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi kawa meneja wa king wa kariakooiSIASA imemshinda sa hivi,anadai democracy lakini ulinambia kweli ana kublock sa sijui democracy gani anayotaka wakati the pillars of democracy tu ya tolerance inamshinda,ndo mana siku hizi watu wanamdharau tu
Ningekuwa mm nisingemjibu cz nae ni team mondi "the conservatives"Mimi nimeongelea nyimbo ya WCB..?? Mimi naongelea Panic ya Mondi na kundi lake
Yani kitendo cha wewe kukurupuka na kusema mambo ya shooting, video angali mimi sijaongelea hilo, ni wazi Kiba amewapanikisha vibaya mno..
Relax
Diamond alinganishwe na davido na wizkid ni dhambi kubwa kumlinganisha na yoyote bongoUkizungumzia biashara ya mziki hapa Tanzania,Intelligensia kubwa inayotumika kufanikisha biashara ya Mziki Tanzania,Hakiri kubwa iliyowekezwa kufanikisha Biashara ya Mziki Tanzania. Na vingine vyote vizuri hakika huwezi linganisha Alikiba na Diamond!!!
Na hata ukilinganisha maana yake unataka kumpa promo ambaye hana sifa ya kulinganishwa na Mtaalamu wa biashara ya Mziki!!!
Kuanzia leo tafadhali sana kulinganisha Diamond vs Alikiba kwenye Biashara hii ya Mziki!!!
Diamond si wa bongo kwa kulinganishwa! N wa kimataifa!!
Kiba unaweza mpambanisha na wasanii wa bongo lkn si Diamond.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe seduce me imeimbwa na watu watano alafu zilipendwa imeimbwa na MTU mmoja...nilikuwa sjui hiiHuo ndio ukweli jeshi la mtu mmoja dhidi ya timu tano zenye nguvu na bado ana watoa jasho
Kwa hiyo mashabiki hawaruhusiwi kuhamasishana wampe support msanii wao...alafu sio kupambana na dai mmoja..ule wimbo sio wa dai ni wakikundi chote...ukiona mtoto anapiga kelele sana ujue mboko zimeingia...charaza bakora king kiba washaanza kuweweseka hukuππππππIle kampeni insta umeiona lakin timu kubwa kubwa zikipambana na dai mmoja
Kiba alianza yeye kutengeneza makundi kati yeye na dai wakati anataka kutoa wimbo wa mwana sasa sisi kama wanachama wa dai tukasimama kisawasawa hadi leo hvyo chuki aalianza nayo kiba ni vile tu anayeanza haonikani mbaya mmalizaji ndo mbaya
Hivi Diamond alishawahi kutoka na Mange? Najua Wema na Jokate tu.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Wimbo mpya aliouachia hauna ujumbe maksusi kama Sanaa inavyotaka.
Pamoja na kutokuwa na ujumbe mujarabu kama wenye akili timamu walivyochambua, bado Ali Kiba amefanikiwa kupata bahati ya kupendwa na wanaomchukia Diamond kama Wema, Jokate na Mange ambao kawala kawamaliza. Hawa hawatakaa wamsifie kwa wivu wa kimapenzi, ambalo ni jambo la kawaida.
Kundi la pili ni watu wenye huruma, hawa wameona kijana amebanwa sana katika soko na kushindwa kutengeneza pesa kwa muda mrefu.
Amepata bahati ambayo siyo rasmi vijana wa Midole Miwili wamejikita kumsaidia kama kumkomoa Diamond ambaye anajulikana kama mwana CCM.