Ukizungumzia biashara ya mziki hapa Tanzania,Intelligensia kubwa inayotumika kufanikisha biashara ya Mziki Tanzania,Hakiri kubwa iliyowekezwa kufanikisha Biashara ya Mziki Tanzania. Na vingine vyote vizuri hakika huwezi linganisha Alikiba na Diamond!!!
Na hata ukilinganisha maana yake unataka kumpa promo ambaye hana sifa ya kulinganishwa na Mtaalamu wa biashara ya Mziki!!!
Kuanzia leo tafadhali sana kulinganisha Diamond vs Alikiba kwenye Biashara hii ya Mziki!!!
Diamond si wa bongo kwa kulinganishwa! N wa kimataifa!!
Kiba unaweza mpambanisha na wasanii wa bongo lkn si Diamond.
Sent using
Jamii Forums mobile app