WCB punguzeni kukopi na kupesti

Video Director ndio mbeba lawama zote kwa kuiga IDEA za wengine, yaani vilevile
 
Hahahaha! hata mim nisingeweza kuona
 
yaan asilimia kubwa ya nyimbo ya harmonize wameiga kutoka kwenye nyimbo hiyo ya derulo stupid love hata mwisho umalizikaji wa nyimbo unafanana kwa mademu wote kutoa machozi
 
Utasikia Jason Deluro ndio kaiga [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 344836
mkuu una macho makali!!Ila hata hivo harmonize mwenyewe alisema ukiangalia interview alohojiwa na milard ayo kuna website ukiingia unaweza pata mawazo namna gani video yako iwe kulingana na ujumbe wa nyimbo yako!! itafute hio interview alofanya na milardayo!!
 
Hivi mara ya mwisho kibakuli kupiga shoo ilikuwa lini ............ ( watu kimya, chezea DIAMOND wewe ) kajitahidi mwenyewe kuingia kwenye maonyesho yake na yule mwenye makalio feki ili apate sapoti ya kambi ya pili lakini nayo kadunda.
 
Kuna wakati idea hufanana au wazungu hutuiga hapa simaanishi hii video namaanisha video ya YULE by AY na
Ule Wa Chris's brown mwishoni wote wameinama kisha msichana anakuja kumbuka AY NDO WA KWANZA
 
go back to school
Nenda mwenyewe ambaye hujui kinachoendelea duniani. Kazi majungu na kukosoa vitu vidogo. Na umeandika kiingereza ili uonekane msomi. Nyinyi vijana wa dot.com mnamatatzio sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…