kabisaMziki ni bzness kama mchele ndio unalipa na faida ya kutosha ndio na soko lake ni uwakika nikuendelea nao tu.
Eti ukakomae na mahindi wakati hayana soko la uwakika huo ni ukichaa kiongozi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kweli kabisaQueendarling hajui kuimba na kama asingekuwa na undugu na Diamond Platnumz bas angeondoka WCB au asingekuwa kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mziki ni bzness kama mchele ndio unalipa na faida ya kutosha ndio na soko lake ni uwakika nikuendelea nao tu.
Eti ukakomae na mahindi wakati hayana soko la uwakika huo ni ukichaa kiongozi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tuwachoke mara ngapi???Kila wimbo mnaotoa kwa sasa mnasifu tendo la ndoa, bora hata mngekuwa mnaimba issues zingine za mapenzi hapo sawa. Yani hata huu wimbo mpya wa dada yetu Queendarleen ni mrengo uleule, tena kaamua kuupa jina la direct kabisa, MUHOGO.
Kidogo Harmonize anajitahidi kugusa nyanja mbalimbali za mapenzi, lkn wengine wote mmebweteka hamuwezi hata kutumia tafsida.
Soon watu watawachoka sababu hamna jipya kwenye tunzi zenu, shame on you.
Hata kama huo mchele unasumu uuzwe tu kwasababu unalipa huo ni ubinafsi uliotukuka ungepende umkute mtoto wako au mdogo wako wa miaka mitatu anaimba NYEGEZI ?Mziki ni bzness kama mchele ndio unalipa na faida ya kutosha ndio na soko lake ni uwakika nikuendelea nao tu.
Eti ukakomae na mahindi wakati hayana soko la uwakika huo ni ukichaa kiongozi
Sent from my iPhone using JamiiForums
They have run out of ideas, anyway it's an awful song. Yes shame on them.Kila wimbo mnaotoa kwa sasa mnasifu tendo la ndoa, bora hata mngekuwa mnaimba issues zingine za mapenzi hapo sawa. Yani hata huu wimbo mpya wa dada yetu Queendarleen ni mrengo uleule, tena kaamua kuupa jina la direct kabisa, MUHOGO.
Kidogo Harmonize anajitahidi kugusa nyanja mbalimbali za mapenzi, lkn wengine wote mmebweteka hamuwezi hata kutumia tafsida.
Soon watu watawachoka sababu hamna jipya kwenye tunzi zenu, shame on you.
Sio kweli unachosema. WCB wananguvu ya kuset trend, wangeweza kuimba bila kutumia matusi au kuimba mada zingine tofauti na kuhamasisha au kusifia ngono na bado wangekimbiza tu lakini naona sasa wao ndo wamekazana kutuhamasisha mambo ya kujamiiana tu mara kuzibua mitaro aaaah this is too much. Mi najiona ninavyoacha kushabikia muziki wa Bongo Flavour kwasababu niliowaaminia wananiangushaMziki ni bzness kama mchele ndio unalipa na faida ya kutosha ndio na soko lake ni uwakika nikuendelea nao tu.
Eti ukakomae na mahindi wakati hayana soko la uwakika huo ni ukichaa kiongozi
Sent from my iPhone using JamiiForums