Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 4,805
- 17,850
Kila wimbo mnaotoa kwa sasa mnasifu tendo la ndoa, bora hata mngekuwa mnaimba issues zingine za mapenzi hapo sawa. Yani hata huu wimbo mpya wa dada yetu Queendarleen ni mrengo uleule, tena kaamua kuupa jina la direct kabisa, MUHOGO.
Kidogo Harmonize anajitahidi kugusa nyanja mbalimbali za mapenzi, lkn wengine wote mmebweteka hamuwezi hata kutumia tafsida.
Soon watu watawachoka sababu hamna jipya kwenye tunzi zenu, shame on you.
Kidogo Harmonize anajitahidi kugusa nyanja mbalimbali za mapenzi, lkn wengine wote mmebweteka hamuwezi hata kutumia tafsida.
Soon watu watawachoka sababu hamna jipya kwenye tunzi zenu, shame on you.