MWEMBEKIUNO
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 1,877
- 2,489
Ni ngapi hizo nyimbo?Nyimbo mbovu.
Anasaidiaje kwenye hii hoja?Mlezi wa WCB unamfahamu?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mziki ni bzness kama mchele ndio unalipa na faida ya kutosha ndio na soko lake ni uwakika nikuendelea nao tu.
Eti ukakomae na mahindi wakati hayana soko la uwakika huo ni ukichaa kiongozi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sasa mbona tetema iko namba moja trace music ? Kama kweli wanapingwa ? Unajua hauwezi kumridhisha kila mtuHili ni kweli kabisa... Mimi nawakubali sana hawa jamaa tena ni shabiki yao kweli kweli, huwa tunabishana sana na watu kuhusu DABILIYUSIBI kwa sababu huwa nawatetea karibu katika kila wanalofanya.
Lakini hivi karibuni hizi nyimbo zao hata mimi zinaniudhi, melodi ni nzuri sana na zinapendwa na watu wengi tu, lakini ukisikiliza kwa makini wanachokiimba huwa nachukia.. bora ingekuwa kwenye baadhi ya nyimbo tu lakini hii kwa sasa imezidi.
Natamani wabadilike kidogo kiukweli katika hili, haiwajengei picha nzuri kwenye jamii kwa sasa maana karibu kila eneo wanapingwa kutokana tu na aina ya uimbaji wanaoufanya sasa hivi...
Muhogo sio Ngoma nzuri sio Kwa sababu ya idea but even its beats( instruments)They have run out of ideas, anyway it's an awful song. Yes shame on them.
PointMziki ni bzness kama mchele ndio unalipa na faida ya kutosha ndio na soko lake ni uwakika nikuendelea nao tu.
Eti ukakomae na mahindi wakati hayana soko la uwakika huo ni ukichaa kiongozi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ndio hivyo sasa kua soko linataka nini,ukiimba nyimbo za harakati kama wakina "Alisema" kuna watu wanahisi unawasimanga wao, dawa ni hiyo tu waimbe mapenzi as far as wasitukane, issue ya malezi katika dunia ya kibepari inabaki kua jukumu la mzazi/mlezi.Hata kama huo mchele unasumu uuzwe tu kwasababu unalipa huo ni ubinafsi uliotukuka ungepende umkute mtoto wako au mdogo wako wa miaka mitatu anaimba NYEGEZI ?
Swala la Kenya ni kutaka kuupa airtime mziki wa Kenya ni kampeni yao ya Play Kenya Music.Anasaidiaje kwenye hii hoja?
Walipofungiwa na basata mlezi aliacha kulea?
Btw, na Kenya wamepigwa pini
Tanzania ya sasa ni ya kusimamia misingi na maadili
Issue ya kutishana haijawahi kuiweka Tanzania pazuri
Queen darling umeanza kumskia Lin ?? Et hajui kuimba ..,Queendarling hajui kuimba na kama asingekuwa na undugu na Diamond Platnumz bas angeondoka WCB au asingekuwa kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamefungia matusiSwala la Kenya ni kutaka kuupa airtime mziki wa Kenya ni kampeni yao ya Play Kenya Music.
Siyo swala la kufungiwa,na wamefungia nyimbo mbili Kwangwaru na Mwanza Nyegezi,Hawajafungiwa mziki moja kwa moja.
Sema nimewachoka si wamewashoka inamaana unanisemea na mimi.Kila wimbo mnaotoa kwa sasa mnasifu tendo la ndoa, bora hata mngekuwa mnaimba issues zingine za mapenzi hapo sawa. Yani hata huu wimbo mpya wa dada yetu Queendarleen ni mrengo uleule, tena kaamua kuupa jina la direct kabisa, MUHOGO.
Kidogo Harmonize anajitahidi kugusa nyanja mbalimbali za mapenzi, lkn wengine wote mmebweteka hamuwezi hata kutumia tafsida.
Soon watu watawachoka sababu hamna jipya kwenye tunzi zenu, shame on you.
Hili nalo la kutazamwa...Tena haijawahii kubanaa,nalegeaa ikikutana yangu na yako nilivyofundi kucheleweshaa...Mlezi wa kundi ni P Makonda
Sent using Jamii Forums mobile app