WCB This is Too Much

WCB This is Too Much

Mlezi wa WCB unamfahamu?


Sent from my iPhone using JamiiForums
Anasaidiaje kwenye hii hoja?

Walipofungiwa na basata mlezi aliacha kulea?

Btw, na Kenya wamepigwa pini

Tanzania ya sasa ni ya kusimamia misingi na maadili

Issue ya kutishana haijawahi kuiweka Tanzania pazuri
 
Mziki ni bzness kama mchele ndio unalipa na faida ya kutosha ndio na soko lake ni uwakika nikuendelea nao tu.
Eti ukakomae na mahindi wakati hayana soko la uwakika huo ni ukichaa kiongozi


Sent from my iPhone using JamiiForums

Mkuu umeongea vyema Tena sana....nyimbo zinapokelewa na zinawavutia mafans wao.....Mfano Nyegezi nakupenda sana.
 
Hili ni kweli kabisa... Mimi nawakubali sana hawa jamaa tena ni shabiki yao kweli kweli, huwa tunabishana sana na watu kuhusu DABILIYUSIBI kwa sababu huwa nawatetea karibu katika kila wanalofanya.
Lakini hivi karibuni hizi nyimbo zao hata mimi zinaniudhi, melodi ni nzuri sana na zinapendwa na watu wengi tu, lakini ukisikiliza kwa makini wanachokiimba huwa nachukia.. bora ingekuwa kwenye baadhi ya nyimbo tu lakini hii kwa sasa imezidi.
Natamani wabadilike kidogo kiukweli katika hili, haiwajengei picha nzuri kwenye jamii kwa sasa maana karibu kila eneo wanapingwa kutokana tu na aina ya uimbaji wanaoufanya sasa hivi...
Sasa mbona tetema iko namba moja trace music ? Kama kweli wanapingwa ? Unajua hauwezi kumridhisha kila mtu
 
Mziki ni bzness kama mchele ndio unalipa na faida ya kutosha ndio na soko lake ni uwakika nikuendelea nao tu.
Eti ukakomae na mahindi wakati hayana soko la uwakika huo ni ukichaa kiongozi


Sent from my iPhone using JamiiForums
Point
 
Hata kama huo mchele unasumu uuzwe tu kwasababu unalipa huo ni ubinafsi uliotukuka ungepende umkute mtoto wako au mdogo wako wa miaka mitatu anaimba NYEGEZI ?
Ndio hivyo sasa kua soko linataka nini,ukiimba nyimbo za harakati kama wakina "Alisema" kuna watu wanahisi unawasimanga wao, dawa ni hiyo tu waimbe mapenzi as far as wasitukane, issue ya malezi katika dunia ya kibepari inabaki kua jukumu la mzazi/mlezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anasaidiaje kwenye hii hoja?

Walipofungiwa na basata mlezi aliacha kulea?

Btw, na Kenya wamepigwa pini

Tanzania ya sasa ni ya kusimamia misingi na maadili

Issue ya kutishana haijawahi kuiweka Tanzania pazuri
Swala la Kenya ni kutaka kuupa airtime mziki wa Kenya ni kampeni yao ya Play Kenya Music.
Siyo swala la kufungiwa,na wamefungia nyimbo mbili Kwangwaru na Mwanza Nyegezi,Hawajafungiwa mziki moja kwa moja.
 
Swala la Kenya ni kutaka kuupa airtime mziki wa Kenya ni kampeni yao ya Play Kenya Music.
Siyo swala la kufungiwa,na wamefungia nyimbo mbili Kwangwaru na Mwanza Nyegezi,Hawajafungiwa mziki moja kwa moja.
Wamefungia matusi
 
Nanukuu upuuzi aliobwabwaja mondo kwenye wimbi mpya yeye na harmonize pamoja na burba boys "kilima kilima panda,m" hapa anamaanisha kadri mfikicho unavyonoga wanakaribia kileleni.

Upuuzi mtupu aina ushabiki nae Tena Huyu mzinzi na label yake ya kizinzi.
 
Siku hizi miziki ya bongo flava ni matusi tupu namba moja ya WCB wanaharibu sana watoto unakuta mtoto wa miaka mitano anaibwa "Tukacheze kitandan nipe mpka kwenye kiti".Kwa kwl ni aibu juzi nipo kwenye daladala nilisikia nyimbo moja inaimbwa"Zungusha imezama zungusha imekwama" ngoma hii sasa nayo inatrend halafu unakuta mwanao anaimba duh Viwanda hivyo
 
Kila wimbo mnaotoa kwa sasa mnasifu tendo la ndoa, bora hata mngekuwa mnaimba issues zingine za mapenzi hapo sawa. Yani hata huu wimbo mpya wa dada yetu Queendarleen ni mrengo uleule, tena kaamua kuupa jina la direct kabisa, MUHOGO.

Kidogo Harmonize anajitahidi kugusa nyanja mbalimbali za mapenzi, lkn wengine wote mmebweteka hamuwezi hata kutumia tafsida.

Soon watu watawachoka sababu hamna jipya kwenye tunzi zenu, shame on you.
Sema nimewachoka si wamewashoka inamaana unanisemea na mimi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee mpka naanza kuamini sasa labda hata mond anamtifua AntyJuma si kwa kusifia misambwanda kila wimboooo anakera sana Aghhhhhhhhh
 
Back
Top Bottom