WCB This is Too Much

Write your reply...wamechunda hawana jipya
 
Muhogo sio Ngoma nzuri sio Kwa sababu ya idea but even its beats( instruments)
That's why I said it's an awful song. Ni combination ya kila kitu kuanzia lyrics, beats,Instruments, melody na kila kitu
 
Ahsante mleta Mada kwa kulisemea hili!

**Ombi na ushauri pia kwa shule za msingi & sekondari, wakati wa shughuli zenu za graduations etc, tafadhalini sana kheri muwape watoto tasks za kutengeza nyimbo zawo wenyewe kuliko kuwachaguliya haya mabongo fleva yaliyojaa maneno ya faragha (siwezi kusema matusi maana wanazungumzia yale mambo yaliyofanya dunia ikawa hivi ilivyo leo!!) yasiyofaa kusikiwa na watoto! Please!
 
kosa walilolifanya wcb ni kumchukua queen darleen kwenye lebo yao huku wakijua fika kuwa hajui kuimba na anaitia hasara kampuni.
 
Beware the last kicks of dying horse..kila siku wanaambiwa Na BASATA hawataki...wanatafuta huruma kwa team WCB kwamba wanaonewa
 
endeleeni na wapuuzi wenu hamna kuwaachia njiani...walianza kwenye maisha yao na sasa wanaingiza kwenye muziki wao ule upuuzi wanaouishi watu walipokuwa wanapiga kelele walibezwa na sasa wabezaji imewapalia hahahaaaaaaaaa nampenda ALI KIBA kwa mengi sana sijui hata kama anaijua njia ya basata kijana wa watu ila hawa wengine hata ukiwafumba macho basata wanafika.
 
Mimi bongo flava nasikiliza nikipita sehemu wanapiga nikiwa nyumban nasikiliza zilipendwa na roho inasuzika kabisa. Bongo flava matusi yapo nje nje nikiwa nyumbani siwezi kabisa.
 
Ujinga ulianzia kwenye Salome sijui nasimama kama ngongoti basi kutwa ni nyimbo hzo tu yaani ukisikiliza lazima picha ya viungo vya uzazi ikujie kichwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…