Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Queen darling umeanza kumskia Lin ?? Et hajui kuimba ..,
From profile picture to proper future
Hahaha!!!
That's why I said it's an awful song. Ni combination ya kila kitu kuanzia lyrics, beats,Instruments, melody na kila kituMuhogo sio Ngoma nzuri sio Kwa sababu ya idea but even its beats( instruments)
Zamani diamond alikuwa anaimba nyimbo flani za mapenzi safi kweli!
Ata ikipigwa mbele ya mzazi huna wasi wasi ila siku hizi daaaaaa
Trace hawajui wanachoimba...kule mdundo Na video kaliSasa mbona tetema iko namba moja trace music ? Kama kweli wanapingwa ? Unajua hauwezi kumridhisha kila mtu
mkuu hujalazimishwa,ukiona zinakukera weka cd ya maleboSoon watu watawachoka sababu hamna jipya kwenye tunzi zenu, shame on you.
Tena akiimba live ndio anaboa kbsQueendarling hajui kuimba na kama asingekuwa na undugu na Diamond Platnumz bas angeondoka WCB au asingekuwa kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app