WCB waachia Dude linaloitwa Quarantine

WCB waachia Dude linaloitwa Quarantine

huu ndo wimbo wa kwanza wa wcb producer laizer kubadilisha sampo za bits.

Nina hakika huu wimbo utaozesha dodo.
ni wimbo mkali sana tangia afariki michael jackson.kenny ni nyoko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dahhh hiii nayo ni nyimboo..... Nkadhani wanafanya utani.

Sitashangaa ikitrend kwa sababu ni MOND ila kwangu mimi sioni wimbo naona muunganiko wa maneno mengi yasiyoeleweka
Mfano RayVany kaimba nn pale

Mtajibu ubunifu...... Uzwazwa
 
Back
Top Bottom