Mbulukenge
Senior Member
- Jun 26, 2019
- 130
- 306
Daaaa nimeumia sanaNampenda Rayvanny jamani
Nyimbo nzima nimemuona yeye tu [emoji38]
Nampenda Rayvanny jamani
Nyimbo nzima nimemuona yeye tu π
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yani kumbe ushabiki wenu hamko huru kutoa honest opinion kwasababu unampenda msanii wa upande mwingine?
Hapana shem ni ushabiki wa kawaida tuAsante shem, ila hiyo inaonekana imetoka moyoni kabisa.
Imeniuma!
Usiumie π€£
Sawa.
Asante shem, ila hiyo inaonekana imetoka moyoni kabisa.
Imeniuma!
Unacheka nini sasa na umenipa kazi hapaNyie watu mmenifanya nicheke sana hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahah sasa si nimesemea upendo ule wa mbali,sio kama ule naompenda yeye
Out of topic: Hivi maana ya mkaidi hafaidi mpaka siku ya idi ni nini?
Maana kesho ni ID, sasa nawaza ndo kesho wakaidi watafaidi?
Nilitaka kuanzisha thread kuuliza hili swali ila nimeshindwa.
cc: Khantwe