WCB waachia Dude linaloitwa Quarantine

WCB waachia Dude linaloitwa Quarantine

Hii nyimbo ya Wasafi mnaonaje iko creative au bado hairidhishi
IMG-20200522-WA0016.jpg


Baba Ako
 
Nyimbo ya diamond imeshindwa kufikisha views milion1 ndani ya Massa 24/siku1,ambapo nyimbo ya dodo alikiba ilifikisha views milion1 ndani ya Massa 24 tu!!
 
Diamond kashapiga hizo achievement sana mmebaki nyie kumshindanisha.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kwahyo na hii ni nyimbo ya kushindanisha kabsaa. Aisee umekosa kaz za kufanya
 
Badala ukashindanishe JEJE na hayo MAEMBE yako unakuja kushindana na haka kanyimbo ka masihara[emoji23] JEJE ina 2 months; 17M views, means per month (approximately) ilikua inapata 8.5M views... Sasa hayo maembe yana mwezi mmoja 5M views na bado yanasuasua unaenda mwezi wa pili huu. [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom