Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rich mavoko katoa kokoro na show me mkasema mnamtaka rich wa zamaniNashangaa kuona wasanii wote wanaimba key moja mwisho wa siku haitambuliki huyu ni nani sababu wanaigana kama wataendelea hivi watachokwa hakuna anayetaka kubadika.
Baada yakuja huyo Lava Lava nikazani anakuja na key tofauti kumbe yale yale leo katoa nyimbo mpya inaitwa teja anaimba kama Diamond au harmonize
game ya mziki kwa sasa imepoa sana wasanii wajaribu kuja na style mpya kila siku kuimba kwa mazoea ni kero tu kwa wasikilizaji.
Watanzania mnataka kila kitu mkipate Wasafi,Shida moja wanamtegemea huyo producer wao tu...hawataki kusikia producer mwingine...Kwa hiyo midundo na mirindimo ni ileile
kweli kabisa mkuuWatanzania mnataka kila kitu mkipate Wasafi,
Kila beat iwe Wasafi, kila aina ya mziki mkaupate Wasafi,
Sikilizeni na wasanii wengine mpate ladha nyingine msikomae Wasafi tu kama mmerogwa kuna fid q, jux, Vanessa , abdu kiba, dulla makabila, harmorapa. nk,
nadhani huko mtapata ladha tofauti
Ubunifu wao umekufa kabisa!Mzee baba...! hakuna sanaa iliyo hai Tanzania,, nikumegee ka taarifa....!!!
Nadhani hili ni wazo la msingi sana miongoni mwa mawazo ya wengi hapa....Imefika wakati sasa Diamond afanye kazi na maproducer tofauti barani Afrika.
Dj Maphorisa ni mkali sana wangefanyakazi
HILI HAPANA.PALE WANAFANYA KAZI NA TUDDY PIA,PIA WANAFANYA KAZI NA STUDIO KAMA UPRISE CHINI YA FLAGA REJEA WIMBO WA HAPPY BIRTHDAY, PIA WIMBO WA KOKORO KUNA MKONO WA ABIDADYShida moja wanamtegemea huyo producer wao tu...hawataki kusikia producer mwingine...Kwa hiyo midundo na mirindimo ni ileile
Sijasema kwa % zote mkuu, lakini kila nyimbo zao lazima Laizer ahusikeHILI HAPANA.PALE WANAFANYA KAZI NA TUDDY PIA,PIA WANAFANYA KAZI NA STUDIO KAMA UPRISE CHINI YA FLAGA REJEA WIMBO WA HAPPY BIRTHDAY, PIA WIMBO WA KOKORO KUNA MKONO WA ABIDADY
Wewe ni producer au hutaki tu masikio yako yasikieNashangaa kuona wasanii wote wanaimba key moja mwisho wa siku haitambuliki huyu ni nani sababu wanaigana kama wataendelea hivi watachokwa hakuna anayetaka kubadika.
Baada yakuja huyo Lava Lava nikazani anakuja na key tofauti kumbe yale yale leo katoa nyimbo mpya inaitwa teja anaimba kama Diamond au harmonize
game ya mziki kwa sasa imepoa sana wasanii wajaribu kuja na style mpya kila siku kuimba kwa mazoea ni kero tu kwa wasikilizaji.