WCB wabadilike uimbaji

WCB wabadilike uimbaji

Nashangaa kuona wasanii wote wanaimba key moja mwisho wa siku haitambuliki huyu ni nani sababu wanaigana kama wataendelea hivi watachokwa hakuna anayetaka kubadika.

Baada yakuja huyo Lava Lava nikazani anakuja na key tofauti kumbe yale yale leo katoa nyimbo mpya inaitwa teja anaimba kama Diamond au harmonize
game ya mziki kwa sasa imepoa sana wasanii wajaribu kuja na style mpya kila siku kuimba kwa mazoea ni kero tu kwa wasikilizaji.
Rich mavoko katoa kokoro na show me mkasema mnamtaka rich wa zamani
Nashangaa leo mnataka wabadilike huku mnayapinga mabadiliko na kuita unigeria
 
Shida moja wanamtegemea huyo producer wao tu...hawataki kusikia producer mwingine...Kwa hiyo midundo na mirindimo ni ileile
Watanzania mnataka kila kitu mkipate Wasafi,
Kila beat iwe Wasafi, kila aina ya mziki mkaupate Wasafi,
Sikilizeni na wasanii wengine mpate ladha nyingine msikomae Wasafi tu kama mmerogwa kuna fid q, jux, Vanessa , abdu kiba, dulla makabila, harmorapa. nk,
nadhani huko mtapata ladha tofauti
 
kweli kabisa mkuu
 
Imefika wakati sasa Diamond afanye kazi na maproducer tofauti barani Afrika.
Dj Maphorisa ni mkali sana wangefanyakazi
Nadhani hili ni wazo la msingi sana miongoni mwa mawazo ya wengi hapa....

Ninajua kuwa WCB ni lebo yenye uwezo wa kumuajiri au angalau kuweza kumtafuta muandaaji mwenye uzoefu ili kutengeneza muziki mzuri zaidi....

Kuna RK ambaye ni mzuri pia...

Watafute waandaaji wa muziki tofauti ili kuongeza soko lao nje ya nchi maana kwa hapa wameshaliteka tayari....
 
KUNA SIKU NIMEKWENDA STUDIO KWA WASHIKAJI ZANGU SI WAKANISETIA MIC NIWEKE VOKO,EBANQ NILIISHIA KUSEMA baby nakupendaaaaaa.TOKA SIKU HIYO NAHESHIMU WIMBO WA MTU
 
Shida moja wanamtegemea huyo producer wao tu...hawataki kusikia producer mwingine...Kwa hiyo midundo na mirindimo ni ileile
HILI HAPANA.PALE WANAFANYA KAZI NA TUDDY PIA,PIA WANAFANYA KAZI NA STUDIO KAMA UPRISE CHINI YA FLAGA REJEA WIMBO WA HAPPY BIRTHDAY, PIA WIMBO WA KOKORO KUNA MKONO WA ABIDADY
 
HILI HAPANA.PALE WANAFANYA KAZI NA TUDDY PIA,PIA WANAFANYA KAZI NA STUDIO KAMA UPRISE CHINI YA FLAGA REJEA WIMBO WA HAPPY BIRTHDAY, PIA WIMBO WA KOKORO KUNA MKONO WA ABIDADY
Sijasema kwa % zote mkuu, lakini kila nyimbo zao lazima Laizer ahusike
 
Nashangaa kuona wasanii wote wanaimba key moja mwisho wa siku haitambuliki huyu ni nani sababu wanaigana kama wataendelea hivi watachokwa hakuna anayetaka kubadika.

Baada yakuja huyo Lava Lava nikazani anakuja na key tofauti kumbe yale yale leo katoa nyimbo mpya inaitwa teja anaimba kama Diamond au harmonize
game ya mziki kwa sasa imepoa sana wasanii wajaribu kuja na style mpya kila siku kuimba kwa mazoea ni kero tu kwa wasikilizaji.
Wewe ni producer au hutaki tu masikio yako yasikie
Utambulisho wa msanii ni sauti yake tu,sio ajabu kufanana kwa key kama wanatumia producer mmoja au lebo moja
 
Upuuzi wa Laizer siwezi sikiliza, producer ni luffa tu kwa sasa bila kumsahau T.Touch!
Nilishasema Diamond bila producer manecky hamna kitu cha maana atafanya bongo! Labda akimbilie south ama naijeria kwa kina masterkraft na selebobo!
 
Back
Top Bottom