WCB wamewekeza Sana ni halali Yao kuvuna walichokipanda

Slowly

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
10,589
Reaction score
35,268
Jina WCB ndo jina maarufu la kisanaa Kwa sasa.....Diamond Platnumz hajatokea from no where , nakumbuka mwaka 2010 nikisikiliza radio free Africa kulikuwa na kipind cha kushindanisha wasaniii na sku hyo walishindanisha Diamond na Alli Kiba , kiukweli Alikiba aliongoza Kwa Kura dhidi ya diamond , na ilikuwa halali yake by that time Ali Kiba kumburuza Diamond , First ukongwe kwenye game , second alikuwa na hitsong nying kumzidi kijana wa tandale.

Diamond alikuwa anachukiwa Sana na media hot kipind hcho pamoja na mashabiki wengi , mara nyimbo zake sio za kucheza n.k , nakumbuka mwaka 2014 tamasha liliandaliwa na Tigo I think pale Dar live kama sikosei , Alikiba na diamond waliperform na diamond alipiga show Kali Sana Ila aliishia kurushiwa chupa na kutukanwa na mashabiki but in return Diamond Platnums aliwarushia pesa mashabiki hao..

Kwa sasa diamond ana nguvu isiyo ya kawaida , WCB ni jina lenye nguvu Sana nchi hii , na watu wamewekeza pesa nyingi Sana kwenye Brand ya WCB ambayo ndio Diamond mwenyewe ....

hakuna Harmonize bila diamond , hakuna Rayvanny bila diamond ,katika swala la Sanaa katika mziki ,au katika masuala mengine e.g umbea na udaku jina la diamond Lina nguvu sana na watu wamejipatia kipato kupitia jina hili ......

Ni dhahiri Diamond kawekeza pesa nyingi Sana Kwa wasanii wake , naangalia jins zuchu anavyotembea kwenye Sanaa , video , Audio ni dhahiri pesa nyingi imewekezwa .,....hawabahatishi , ......nawashaur wasanii au lable zingine wajue hakuna shortcut , mwaga pesa upate pesa ...... Zuchu dance video ya sina ubaya pesa imetumika pale , kuanzia mavazi, location mpak shooting .....

WCB wamewekeza , wacha wavune walichopanda
 
Nyimbo ya 'Moyo wangu' ilipotoka ilionekana ya kawaida sn,lkn ilipotoka video asee ikaja kuwa bonge la hit song

Nakumbuka ule mwaka wakati tunawaaga form 4 Mimi nikiwa form 3 kwenye graduation nilienda kutoa burudani na nyimbo niliyoiperform ni moyo wangu ya diamond..

Jioni muda wa muziki nilipata pre order km nne hivi za mademu nicheze nao muziki kwenye hall la shule lkn niliishia kumbwela,utoto mwingi[emoji1787]..time is fleeting!!
 
Hahahhaah [emoji23]
 
Duh huo wimbo unatoka niko chuo mwaka wa pili. Wakati anaanza Belle 9 naye ndipo alipokuwa anatoka. Wimbo wa nenda kamwambie sikuwahi kuuelewa nikawa nasema huyu msanii wa msimu tu ila Belle wa kukaa.

Mara ikaja mbangara, nikaanza hisi huyo kijana mbona ananiprove wrong, ikaja nitarejea, sijakaa sawa ikaja moyo wangu, kizaizai akaniua kabisa na ukimwona (huu ni wimbo wangu classic kabisa),
Ghafla nikajikuta nimekuwa shabiki wake. Ila recently hajatoa wimbo wowote nikaupenda maan mimi siyo mpenzi wa masebene.
 
Ulikua unaenda kula kimasihara

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Duh huo wimbo unatoka niko chuo mwaka wa pili. Wakati anaanza Belle 9 naye ndipo alipokuwa anatoka. Wimbo wa nenda kamwambie sikuwahi kuuelewa nikawa nasema huyu msanii wa msimu tu ila Belle wa kukaa.
Mara ikaja mbangara, nikaanza hisi huyo kijana mbona ananiprove wrong, ikaja nitarejea, sijakaa sawa ikaja moyo wangu, kizaizai akaniua kabisa na ukimwona (huu ni wimbo wangu classic kabisa),
Ghafla nikajikuta nimekuwa shabiki wake. Ila recently hajatoa wimbo wowote nikaupenda maan mimi siyo mpenzi wa masebene.
Kaka tukiwa humu Jf tunaonekana wakubwa kumbe wengine tunaotukanana nao ni Baba zetu kabisa[emoji1787]
 
Waambie kuna Prado Lao wamelisahau Kimara😂😭😂😭😭😭
 
Kaka tukiwa humu Jf tunaonekana wakubwa kumbe wengine tunaotukanana nao ni Baba zetu kabisa[emoji1787]
Wakubwa wapo japo hatujapishana saana kwa mfano huyo kipindi yupo chuo mwaka wa pili me npo form II, ko mkubwa japo heshima n kwa wote haijarishi mkubwa kwako or mdogo na swala la Kutukanana sio sawa
 
Jina WCB ndo jina maarufu la kisanaa Kwa sasa.....Diamond Platnumz hajatokea from no where , nakumbuka mwaka 2010 nikisikiliza radio free Africa kulikuwa na kipind cha kushindanisha wasaniii na sku hyo walishindanisha Diamond na Alli Kiba , kiukweli Alikiba aliongoza Kwa Kura dhidi ya diamond , na ilikuwa halali yake by that time Ali Kiba kumburuza Diamond , First ukongwe kwenye game , second alikuwa na hitsong nying kumzidi kijana wa tandale.

Diamond alikuwa anachukiwa Sana na media hot kipind hcho pamoja na mashabiki wengi , mara nyimbo zake sio za kucheza n.k , nakumbuka mwaka 2014 tamasha liliandaliwa na Tigo I think pale Dar live kama sikosei , Alikiba na diamond waliperform na diamond alipiga show Kali Sana Ila aliishia kurushiwa chupa na kutukanwa na mashabiki but in return Diamond Platnums aliwarushia pesa mashabiki hao..

Kwa sasa diamond ana nguvu isiyo ya kawaida , WCB ni jina lenye nguvu Sana nchi hii , na watu wamewekeza pesa nyingi Sana kwenye Brand ya WCB ambayo ndio Diamond mwenyewe ....

hakuna Harmonize bila diamond , hakuna Rayvanny bila diamond ,katika swala la Sanaa katika mziki ,au katika masuala mengine e.g umbea na udaku jina la diamond Lina nguvu sana na watu wamejipatia kipato kupitia jina hili ......

Ni dhahiri Diamond kawekeza pesa nyingi Sana Kwa wasanii wake , naangalia jins zuchu anavyotembea kwenye Sanaa , video , Audio ni dhahiri pesa nyingi imewekezwa .,....hawabahatishi , ......nawashaur wasanii au lable zingine wajue hakuna shortcut , mwaga pesa upate pesa ...... Zuchu dance video ya sina ubaya pesa imetumika pale , kuanzia mavazi, location mpak shooting .....

WCB wamewekeza , wacha wavune walichopanda

Hivi kirefu cha WCB ni nini?
 
images.jpeg
 
Duh huo wimbo unatoka niko chuo mwaka wa pili. Wakati anaanza Belle 9 naye ndipo alipokuwa anatoka. Wimbo wa nenda kamwambie sikuwahi kuuelewa nikawa nasema huyu msanii wa msimu tu ila Belle wa kukaa.

Mara ikaja mbangara, nikaanza hisi huyo kijana mbona ananiprove wrong, ikaja nitarejea, sijakaa sawa ikaja moyo wangu, kizaizai akaniua kabisa na ukimwona (huu ni wimbo wangu classic kabisa),
Ghafla nikajikuta nimekuwa shabiki wake. Ila recently hajatoa wimbo wowote nikaupenda maan mimi siyo mpenzi wa masebene.
UKIMWONA ni moja kati ya nyimbo ambazo diamond alitulia akatunga, yani huo wimbo hata leo hauchuji masikioni mwangu.
 
Duh huo wimbo unatoka niko chuo mwaka wa pili. Wakati anaanza Belle 9 naye ndipo alipokuwa anatoka. Wimbo wa nenda kamwambie sikuwahi kuuelewa nikawa nasema huyu msanii wa msimu tu ila Belle wa kukaa.

Mara ikaja mbangara, nikaanza hisi huyo kijana mbona ananiprove wrong, ikaja nitarejea, sijakaa sawa ikaja moyo wangu, kizaizai akaniua kabisa na ukimwona (huu ni wimbo wangu classic kabisa),
Ghafla nikajikuta nimekuwa shabiki wake. Ila recently hajatoa wimbo wowote nikaupenda maan mimi siyo mpenzi wa masebene.
Bro we ni kaka mimi..by that time 200 Nenda kamwambie sikuwahi kuielewa..ila 2010 ile Mbagala daaaah...halafu badae ukimuona ndo akaua...Mpaka sasa nyimbo zangu 3 bora kutoka kwa jamaa ni Ukimuona, Mbagala na nitarejea..ANAJUA.
 
Back
Top Bottom