Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Moyo wangu ndiyo umetoka nikiwa mwaka wa pili, nenda kamwambia nadhani sijui nilikuwa nasubiri kwenda chuo au nilikuwa nimemaliza form six. Maana wakati ulipotoka baadae kidogo ikaja sumu ya penzi. Ila hapo Mzee kiba alikuwa ashatisha sana na mangoma kama Nakshi mrembo, na ile album yake ya cinderella ilikuwa moto wa kuotoea mbali. Conderella inatoka illikuwa nadhani 2006 mwishoni au 2007, nikiwa najiandaa kuingia kidato cha tano. Hapo Cinderella ikawa inapambana na wimbo wa Marlaw bembeleza halafu na mpenzi jini kwa mbali.Bro we ni kaka mimi..by that time 200 Nenda kamwambie sikuwahi kuielewa..ila 2010 ile Mbagala daaaah...halafu badae ukimuona ndo akaua...Mpaka sasa nyimbo zangu 3 bora kutoka kwa jamaa ni Ukimuona, Mbagala na nitarejea..ANAJUA.
Sasa nimeanza kugundua kuwa nimezeeka aisee