Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Yeah pengine, maana mimi katika level zote za elimu ndo nikuwa navunja rekodi ya kuwa last born wa darasa..ππNilipokuwa nasoma mwandiko wako Tu nilijua wewe ni rika langu [emoji16]..lkn Mimi nahisi ni mkubwa kwako [emoji1787]
Ni kweli mkuu, hakika wewe ni mfatiliaji mzuri wa bongofleva.Kama zilipishana hazikupishana miezi kibao sikumbuki upi ulitangulia kutoaka ila ilikuwa mwaka huo huo nadhani. Ila nilidhani Diamond ni msanii wa msimu na Belle atakuwa mkubwa sana. Nenda kamwambie sikuwahi kuolewa huo wimbo kabisa. Nilianza kumuelewa alipotoa mbagara, nitarejea sikuuelewa sana nilikuja kuelewa moyo wangu, kizaizai , mawazo ila hapo sasa nilikuwa nimekwisha kugundua tayari huyu kijana ni moto wa kuotea mbali.
Belle kwa upande mwingine kila ngoma yake na collabo aliyofanya niliikubali kuanzia ngoma yake ya masogange, we ni wangu, collabo yake na sheta, na nyingine.
Ni kama juzi kumbe zaidi ya miaka 13 iliyopita vile kweli wakati unaenda mbio
***** we braza fala sana πππ
Duh huo wimbo unatoka niko chuo mwaka wa pili. Wakati anaanza Belle 9 naye ndipo alipokuwa anatoka. Wimbo wa nenda kamwambie sikuwahi kuuelewa nikawa nasema huyu msanii wa msimu tu ila Belle wa kukaa.
Mara ikaja mbangara, nikaanza hisi huyo kijana mbona ananiprove wrong, ikaja nitarejea, sijakaa sawa ikaja moyo wangu, kizaizai akaniua kabisa na ukimwona (huu ni wimbo wangu classic kabisa),
Ghafla nikajikuta nimekuwa shabiki wake. Ila recently hajatoa wimbo wowote nikaupenda maan mimi siyo mpenzi wa masebene.
Sasa ndo utukane, acha ufala dogo.Unadhani ingekuwa leo ningeacha mkuu?
Lkn Kwa sababu ya utoto nikawakimbia wote kumanina,sijui akili za wapi zile zilikuwa
Nimejikuta nimecheka Tu Kwa jinsi ulivyonifokea na hatimaye nawe kurudia kosa lilelile..tena afadhali Mimi sijamtukana mtu Ila wewe umeniita Mimi falaSasa ndo utukane, acha ufala dogo.