WCB Wanapo Recycle Vizee Vya Bongofleva Trying To Bring Back 1990's in 2016

C.T.U Bro Umesema Vitu Rare Na Priceless Ila Lets Just B Honest Tunajua Kwa Nni Hzo Label Zinasign Hao Wakina Sinatra Na Wakinaphil Collns Na The Beatles,,,,ni Kwa Ajili Ya Kaz Walizotoa Si Kwa Ajili Ya New Material And U Seem To Know That Lakin Hyo Ina Faida Mbele Kwa Sababu Ya Macopyrights And Whatnots,,.Kwa Bongo Its Not A Smart Move,,,,,by The Way I Appreciate Umewataja Wakina Skrillex Na Paramore Na Coldplay Ngoja Nikachukue Ipod Nile Mangoma Za Hao Watu,,,,wala Haihusiani Ila My Favourite Track Of All Time Ni Viva La Vida
 
U have said it all lady. Thank you.
 
basi imba basi ww unaejua mziki......maneno meng lkn contentless
 
Aisee kumbe kuna watu wanajua mziki km jf yaan tatizo la wabongo wao wanasikilza clouds xxl nyimbo zenye izo izo tu kila cku na wao wanakaririshwa n wasanii hao hao hao ndo yale mtu anamshangaa et black coffe ndo nani wao wanawajua wakina yemi alade, N wiz kid hao 21 pilots n wakali sana ila wabongo hawajui halafu kuna hawa OneRepublic nao wanafanya mziki mzuri sana
 
Acha kumsema mshindi wa bet awards
 
Huyu Lara 1.... Mkuu Kuna maneno ya kisomali kwenye post yako? Kuna mawe mpaka tunashindwa ku grasp content ya post.
 
mtu ambaye anaumia ukifanikiwa/anafurahi ukikosa tuzo anawezaje kukushauri ufanikiwe? mtu anayeleta hoja ya ushauri ni muongo tuu sema kapata njia ya kuwasilisha hisia indirectly,point ya team kiba ya ushauri ni uongo mtupu.haha! ni njia ya kuficha tabia za kichawi.
 
Kwamba eti hata Jide wakati yupo na Ruge alikuwa anazoa tuzo za nje ukweli ni kwamba tuzo karibu zote ni za East African category na hakuwahi hata mara moja kuchukua competitive overall African category... kama ipo; taja moja!

Umemzungumzia Said Fella! Hata kama hakubahatika kuchukua; Juma Nature alishawahi kuwa nominated MTV Europe na kuchukua tuzo ya Channel O East African category chini ya huyo huyo Saed Fella!

Ungefahamu kwanini Babu Tale alitaka support ya Fella kum-manage Diamond wala usingehangaika kutoa mfano wa Tip Top connection!

Kwamba engineer wa yote hayo ni Ruge vinginevyo basi haya yanayoonekana kwa Diamond yangeanza kwanza kuonekana kwa THT!

Itoshe tu kusema kwamba, Diamond amefika pale alipo cuz' he's hungry guy... tough and hardworking huku akipata back up ya kutosha kutoka kwa Sallam ktk level za kimataifa pamoja na Fella & Tale kwenye soko la nyumbani!

BTW, hivi kweli leo hii mtu unaweza kusema kufungua label ni kumuiga XYZ au ili mradi tu uweke negativity?! Hivi mfanyakazi anayepata shida ya usafiri kisha akanunua gari ndo utasema ameiga wakati ni jambo la wazi kwake? Hivi leo Ray Kigosi akipata mkwanja wa maana akaamua kujenga studio ya film ndo utasema amewaiga Universal, MGM au Walt & Disney wakati hayo ni mambo ya kawaida kwenye film industry?!
 

katika album ya mwisho ya madonna iitwayo Rebel Heart ya mwaka jana kama sijakosea nyimbo ya living for love ilishika namba 1 kwenye billboard dance songs chat (ikumbukwe billboard wana categories) na album yenyewe ilishika namba 2 kwenye billboard top 200 swali jingine?
 


one republic wana sound kama Muse wako poa sana..
 
Jukwaa la great thinkers naona limevamiwa....Naona na wewe una tatizo la comparing.. Tunavyoongelea hii topic inabidi utumie akili ya ziada kufanya analysis ya mtu anayeongelewa kwenye maada kulingana na mfano nliotoa unaosupport feasibility ya anayeongelewa (nature)
Madonna kwa sasa ana miaka 57 which is far more than a miracle kwamba bado ni mwanamziki...Fanya compare Madonna yule aliyekuwa age sawa kama za juma nature kwenye 40... Nenda google mbona kwenye miaka ya 40s Madonna alikuwa yupo poa tu...wasanii ambao wapo kwenye 40s na bado wanahit wapo wengi just google. Mkuuu....usipende kumtendea haki mtu mfupi kwa kumpigisha magoti mtu mrefu ili wafanane na mfupi
 

Hahaaaaa! Hizo za EA sio tuzo? Kabla ya Jide ni msanii gani aliwahi kuzoa japo hizo tu.

Juma Nature alivogombana na Said Fella kumbuka alivoweka wazi kabisaa kwenye media Fella ni MNYONYAJI na hakuwa na mchango wowote kwenye tuzo zake.

Felle na Tale yale yale VIVULI VYA MHAYA TU.

THT kwa Ruge ni CHARITY ila Dimond, Ray C, Jide are or were BUSINESS.

Ofcurse Dai is hardworking na Ruge is one hell of a manger. HASHINDWI. Sema tu ndo ukitaka upate, ukubali apate zaidi yako.

Kuhusu Negativity I AM ONE HELL OF A NEGATIVE MF. Guilty as charged.
 
Nimekuelewa The Real Great Thinker
 
East African Category is like any other East African Awards ambayo ingeweza kutolewa EA but inakuwa independent category outside EA... mnapambanishwa wana EA Musicians tupu, is like KTMA... no stiff competition! Ilikuwa ukishabamba Tanzania, unajihakikishie tuzo East African Category... ni kama akina Lulu wanavyojihakikishia Tuzo za Filamu Bora za Kiswahili hata kama tuzo hizo zitatolewa Alaska!

Kwamba Fella alikuwa mnyonyaji kwangu sio jambo la kusikia bali kuliona mwenyewe ingawaje ukweli ni kwamba hata Fella mwenyewe alikuwa akinyonywa; sana tu na wajanja! On top of that, wapo ambao ni kweli walikuwa wakinyonywa terribly... bado nakumbuka baadhi ya wasanii kulipwa Sh.5000/= baada ya show ya uzinduzi wa album pale Billz! Hata hivyo, Nature alikuwa ni mmoja wa wanufaikaji wa unyonyaji wa Fella! Lakini kubwa kuliko yote, ni Fella ndie alimfanya Nature awe more organized na ndio maana baada ya kupigana nae chini, Nature akaanza kupotea taratibu!

Fella na Tale ni kivuli cha Mhaya inategemea na tafsiri yako! Kikubwa wanachokifahamu Fella na Tale ni fitina za muziki wa Kibongo! Don't underestimate them linapokuja suala fitina za kibongo... huyo Ruge mwenyewe anasubiri!

THT is just a Charity? Yaani kv wanasema isn't for profit ndo basi tena unaamini Ruge anatangaza dini pale? You're smart than this hasa ukizingatia kwamba kuna charities kibao hata makanisani na misikiti na bado watu wanapiga pesa ndefu huko!
 
C.T.U asante sana kwa list hiyo.Nyimbo tamu sana...Ubarikiwe sana.Napataje you tube hizo?Zipo kwenye category gani?Nipe neno ambalo naweza andika nikaletewa songs kali kama hizo.Again asante asante asante saana!
 

Redio pekee iliyokuwa inajitahidi siku za karibuni ni choice fm lakini tangu walipoanza uswahili ikaaribika na massod massod pia kuna jabiri Salehe ktk upande Wa hiphop.
 
nimesisimka sana kusoma post yako bro music unaujua....natamani sana siku moja ray c awe mmoja wao...yaani katika wanamuziki wa kike ni ray c na jaydee tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…