Decree Holder
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 2,559
- 3,745
Tuzo za afrima nchini nigeria imetoa list ya wasani watakaoshindanishwa katika vipengele mbalimbali katika mashindano hayo.
Huku wasanii kutoka katika lebel ya WCB wakiongoza katika vipengele mbalimbali huku wasanii wengine wakishindwa kuonekana katika vipengele vyovyote .
kwa upande wa wasanii wa kike, ni msanii Maua Sama pekee aliyeweza kuingia katika mashindano hayo katika kipengele cha Best Female of Eastern Africa.