WCB wang'ara tuzo za AFRMMA Alikiba, Vanessa wakatwa

WCB wang'ara tuzo za AFRMMA Alikiba, Vanessa wakatwa

Decree Holder

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2015
Posts
2,559
Reaction score
3,745
Tuzo za afrima nchini nigeria imetoa list ya wasani watakaoshindanishwa katika vipengele mbalimbali katika mashindano hayo.
Huku wasanii kutoka katika lebel ya WCB wakiongoza katika vipengele mbalimbali huku wasanii wengine wakishindwa kuonekana katika vipengele vyovyote .
kwa upande wa wasanii wa kike, ni msanii Maua Sama pekee aliyeweza kuingia katika mashindano hayo katika kipengele cha Best Female of Eastern Africa.
AFRIMA.jpg
AFRIMA-3-300x188.jpg
AFRIMA-2-300x180.jpg
 
Huyo mdada petra namuelewa mno michano yake..
Pia Nyanshiski..
 
Wcb wanapiga kazi ukiacha kuwafatilia maisha yao binafsi
 
Back
Top Bottom