cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Juma lokolee kwenye ubora wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Juma lokolee kwenye ubora wako
[emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaahndo yale yale tu anichua ngiri kwa limao,wali kwa biriani,mafuta ya karafuu,juisi sharubati bagia za zenzibar
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chawa pro max
Ndio maana ya definition of Love-Albumndo yale yale tu anichua ngiri kwa limao,wali kwa biriani,mafuta ya karafuu,juisi sharubati bagia za zenzibar
Sema kwako kwasababu ulishazoea Mambo ya tango ,Mara mkonga[emoji23][emoji23][emoji23]Tuache ushabiki, album ya sound from africa hamna kitu
AnalopokaBinamu ushawahi kuchuliwa ngiri?
Boomplay, Audiomack, Spotify,apple,Pandora,Shazam,I tunes, AmazonEmbu wekeni linki za kupakua bure..mnaongea sana.
FactWaondoe lile sanamu la askari waweke la wadubusiblibii.
Endelea kukaza fuvuAlbam ya darasa ni bora zaidi kuliko hizo
LeBo namba moja Africa??? Duuuh! Haya bwana.Habarini Wana Jamvi
Inatakiwa ifike sehemu watanzania na Wana JamiiForums celebrity waipe heshima kubwa sana WCB kwa kuendelea kutoa ALBUMS Kali na zenye viwango vya juu sana.
WCB ikiwa kama label namba moja AFRICA na isiyokuwa na mpinzani kwa sasa maana wanigeria wameshainyoshea mikono inatakiwa ipewe heshima maana hawaandai maremix Kama wasanii wengine ila wanatoa kile kilicho Bora zaidi na ukweli unajionesha wazi.
1.Diamond Platinums( A boy from Tandale-Album).
2.Rayvany(Sound from Africa-Album).
3.Mbosso(Definition of Love-Album).
Ko sitafurahishwa na wadau wa Muziki kudai kuwa Kuna Albums-remix yoyote inayozishinda ALBUMS za WCB kwa ujumla.
WCB ndo kiwanda Cha mziki na wanajua jinsi ya KUANDAA ALBUMS na kwa mda gani.
Ko mpaka Sasa ALBUM BORA KWA TANZANIA KWA MIAKA 10(2011_2021) WCB wametisha sana.
Wasanii Kama alikiba,harmonize,abbah process,darassa na wengine wengi bado wanasafari ndefu sana ya kujifunza kutoka WCB namba ya KUANDAA ALBUMS ZAO.
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Endelea kukaza fuvuChawa pro max
Tena sio hit song ,yaani Ni utopolo grade Aalbum ya darasa haina hata hit song moja hahahaha
Kalale Mimi na simu zaidi ya tatu dogo sawaBadilisha simu kwanza achana na Tecno
Kalale baby[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] futuhi hizi zinapatikana WCB pekee.
Ndo ukweli huoLeBo namba moja Africa??? Duuuh! Haya bwana.
Takataka kabisaTuache ushabiki, album ya sound from africa hamna kitu
YBNL na Mavins zote zinazidiwa dabliyusibiii au sio?Ndo ukweli huo
YBNL na Mavins zote zinazidiwa dabliyusibiii au sio?