ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Najiuliza Swali Kwenye Haya matamasha Ni Nani Anahusika na kuhakikisha Kuwa Mazingira Yanatunzwa wakati wa Tamasha na Nani Anahusika na Afya Za Watu?
Juzi Jumamosi Nilikuwa kwenye Tamasha La WASAFI FESTIVAL pale Mwanza na Watu walikuwa Wengi Sana Tena sana! Kilichonishangaza kuliko yote ni namna Maandalizi ya Tamasha Hili.Kubwa zaidi Ilikuwa ni Choo! Nilishangaa sana Kuona Vyoo kwaajiri ya Mashabiki Vipo vyoo 3 yaani 2 wanaume na 1 wanawake ilinishangaza kwasababu sikuelewa lengo la mtu aliefanya yale maandalizi ilikuwa ni nini? Je alikuwa na ukosefu wa Elfu ya kushindwa kujua Umuhimu wa Choo? Watu zaidi ya Elfu 10 haiwezekani Wakatumia Vyoo 3 ikiwa asilimia 90 ya mashabiki walio ingia walikuwa wanatumia Pombe kitu kinachofanya waende haja ndogo mara kwa mara! Ilifika kipindi chooni Foleni Ilikuwa Kubwa sana mwisho Wa siku Mtu alikuwa anaamua kumaliza Haja zake Popote pale atakapi ona yeye inafaa! Mashabiki wakike ndio walipata tabu sana Kwasababu Walikuwa wanalazimika kuchuchumaa chii na kumaliza haja zao huwa wanaume wakiwatazama! Nikawaza sana namna magonjwa ya mlioo yalivyo mengi kwa sasa!
Pembeni walikuwa wanauza Vyakula je usalama na usafi wa chakula ulikuwa wapi? Nikajiuliza hivi ni nani anahusika na ukaguzi wa Maandalizi ya Matamasha Haya? Nilipiga picha nyingi sana lakini Hazifaii kuwekwa Hapa kwasababu ilikuwa ni Aibuuu sanaa! Wangapi walishikwa na Matumbo ya Kuhara? Ukizingatia pale ni eneo la wazi la Rock City Mall! Hivyo uwezekano wa Maambukizi ya Magonjwa Mbalimbali ukaendelea hata baada ya Tamasha Kuisha na Kusafishwa kwasababu kama walishindwa kuweka Vyoo Vya kueleweka Sidhani kama Wataweza kusaifisha vizuri.
DIAMOND HII AIBU YOTE NAIELEKEZA KWAKO! Jitahidi kuwa na Hata vyoo 50 mnapokuwa Kwenyw matamasha Yenu! Kilichotokea Mwanza Ni AIBU KUBWA SANA