WCB:WASAFI FESTIVAL

WCB:WASAFI FESTIVAL

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Najiuliza Swali Kwenye Haya matamasha Ni Nani Anahusika na kuhakikisha Kuwa Mazingira Yanatunzwa wakati wa Tamasha na Nani Anahusika na Afya Za Watu?

Juzi Jumamosi Nilikuwa kwenye Tamasha La WASAFI FESTIVAL pale Mwanza na Watu walikuwa Wengi Sana Tena sana! Kilichonishangaza kuliko yote ni namna Maandalizi ya Tamasha Hili.Kubwa zaidi Ilikuwa ni Choo! Nilishangaa sana Kuona Vyoo kwaajiri ya Mashabiki Vipo vyoo 3 yaani 2 wanaume na 1 wanawake ilinishangaza kwasababu sikuelewa lengo la mtu aliefanya yale maandalizi ilikuwa ni nini? Je alikuwa na ukosefu wa Elfu ya kushindwa kujua Umuhimu wa Choo? Watu zaidi ya Elfu 10 haiwezekani Wakatumia Vyoo 3 ikiwa asilimia 90 ya mashabiki walio ingia walikuwa wanatumia Pombe kitu kinachofanya waende haja ndogo mara kwa mara! Ilifika kipindi chooni Foleni Ilikuwa Kubwa sana mwisho Wa siku Mtu alikuwa anaamua kumaliza Haja zake Popote pale atakapi ona yeye inafaa! Mashabiki wakike ndio walipata tabu sana Kwasababu Walikuwa wanalazimika kuchuchumaa chii na kumaliza haja zao huwa wanaume wakiwatazama! Nikawaza sana namna magonjwa ya mlioo yalivyo mengi kwa sasa!

Pembeni walikuwa wanauza Vyakula je usalama na usafi wa chakula ulikuwa wapi? Nikajiuliza hivi ni nani anahusika na ukaguzi wa Maandalizi ya Matamasha Haya? Nilipiga picha nyingi sana lakini Hazifaii kuwekwa Hapa kwasababu ilikuwa ni Aibuuu sanaa! Wangapi walishikwa na Matumbo ya Kuhara? Ukizingatia pale ni eneo la wazi la Rock City Mall! Hivyo uwezekano wa Maambukizi ya Magonjwa Mbalimbali ukaendelea hata baada ya Tamasha Kuisha na Kusafishwa kwasababu kama walishindwa kuweka Vyoo Vya kueleweka Sidhani kama Wataweza kusaifisha vizuri.

DIAMOND HII AIBU YOTE NAIELEKEZA KWAKO! Jitahidi kuwa na Hata vyoo 50 mnapokuwa Kwenyw matamasha Yenu! Kilichotokea Mwanza Ni AIBU KUBWA SANA
 
Tamasha lifungiwe na huyu jamaa apigwe marufuku kabisa kufanya muziki. 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Wajinga watakukosoa ila wasafi wanawaza pesa tu. Afya ya watu haiwahusu
 
Hoja yako ni nzuri na sio tu kwa tamasha la wasafi pekee Bali kwa matamasha yote ila ulichokosea ni kumlaumu diamond ulitaka diamond ajenge hivyo vyoo alafu pia huyo huyo alipie yeye hiyo sehemu yakufanyia show hii sijawahi kuona kabisa kama ni hivyo nafasi ya wamiliki wa huo uwanja na maeneo yake hiko wapi?
 
Najiuliza Swali Kwenye Haya matamasha Ni Nani Anahusika na kuhakikisha Kuwa Mazingira Yanatunzwa wakati wa Tamasha na Nani Anahusika na Afya Za Watu?

Juzi Jumamosi Nilikuwa kwenye Tamasha La WASAFI FESTIVAL pale Mwanza na Watu walikuwa Wengi Sana Tena sana! Kilichonishangaza kuliko yote ni namna Maandalizi ya Tamasha Hili.Kubwa zaidi Ilikuwa ni Choo! Nilishangaa sana Kuona Vyoo kwaajiri ya Mashabiki Vipo vyoo 3 yaani 2 wanaume na 1 wanawake ilinishangaza kwasababu sikuelewa lengo la mtu aliefanya yale maandalizi ilikuwa ni nini? Je alikuwa na ukosefu wa Elfu ya kushindwa kujua Umuhimu wa Choo? Watu zaidi ya Elfu 10 haiwezekani Wakatumia Vyoo 3 ikiwa asilimia 90 ya mashabiki walio ingia walikuwa wanatumia Pombe kitu kinachofanya waende haja ndogo mara kwa mara! Ilifika kipindi chooni Foleni Ilikuwa Kubwa sana mwisho Wa siku Mtu alikuwa anaamua kumaliza Haja zake Popote pale atakapi ona yeye inafaa! Mashabiki wakike ndio walipata tabu sana Kwasababu Walikuwa wanalazimika kuchuchumaa chii na kumaliza haja zao huwa wanaume wakiwatazama! Nikawaza sana namna magonjwa ya mlioo yalivyo mengi kwa sasa!

Pembeni walikuwa wanauza Vyakula je usalama na usafi wa chakula ulikuwa wapi? Nikajiuliza hivi ni nani anahusika na ukaguzi wa Maandalizi ya Matamasha Haya? Nilipiga picha nyingi sana lakini Hazifaii kuwekwa Hapa kwasababu ilikuwa ni Aibuuu sanaa! Wangapi walishikwa na Matumbo ya Kuhara? Ukizingatia pale ni eneo la wazi la Rock City Mall! Hivyo uwezekano wa Maambukizi ya Magonjwa Mbalimbali ukaendelea hata baada ya Tamasha Kuisha na Kusafishwa kwasababu kama walishindwa kuweka Vyoo Vya kueleweka Sidhani kama Wataweza kusaifisha vizuri.

DIAMOND HII AIBU YOTE NAIELEKEZA KWAKO! Jitahidi kuwa na Hata vyoo 50 mnapokuwa Kwenyw matamasha Yenu! Kilichotokea Mwanza Ni AIBU KUBWA SANA
Mzee ungewauliza hapo hapo wahusika nadhan wangekupa majibu
 
Mmekomeshwa safi sana mlitarajia mpata gest za bure!!!!!?? ninyi badala ya kwenda nyumba za ibada kuswali mnataka mtafutiwe vyoo, bafafe kwenye mahekalu ya sheitwani
 
Najiuliza Swali Kwenye Haya matamasha Ni Nani Anahusika na kuhakikisha Kuwa Mazingira Yanatunzwa wakati wa Tamasha na Nani Anahusika na Afya Za Watu?

Juzi Jumamosi Nilikuwa kwenye Tamasha La WASAFI FESTIVAL pale Mwanza na Watu walikuwa Wengi Sana Tena sana! Kilichonishangaza kuliko yote ni namna Maandalizi ya Tamasha Hili.Kubwa zaidi Ilikuwa ni Choo! Nilishangaa sana Kuona Vyoo kwaajiri ya Mashabiki Vipo vyoo 3 yaani 2 wanaume na 1 wanawake ilinishangaza kwasababu sikuelewa lengo la mtu aliefanya yale maandalizi ilikuwa ni nini? Je alikuwa na ukosefu wa Elfu ya kushindwa kujua Umuhimu wa Choo? Watu zaidi ya Elfu 10 haiwezekani Wakatumia Vyoo 3 ikiwa asilimia 90 ya mashabiki walio ingia walikuwa wanatumia Pombe kitu kinachofanya waende haja ndogo mara kwa mara! Ilifika kipindi chooni Foleni Ilikuwa Kubwa sana mwisho Wa siku Mtu alikuwa anaamua kumaliza Haja zake Popote pale atakapi ona yeye inafaa! Mashabiki wakike ndio walipata tabu sana Kwasababu Walikuwa wanalazimika kuchuchumaa chii na kumaliza haja zao huwa wanaume wakiwatazama! Nikawaza sana namna magonjwa ya mlioo yalivyo mengi kwa sasa!

Pembeni walikuwa wanauza Vyakula je usalama na usafi wa chakula ulikuwa wapi? Nikajiuliza hivi ni nani anahusika na ukaguzi wa Maandalizi ya Matamasha Haya? Nilipiga picha nyingi sana lakini Hazifaii kuwekwa Hapa kwasababu ilikuwa ni Aibuuu sanaa! Wangapi walishikwa na Matumbo ya Kuhara? Ukizingatia pale ni eneo la wazi la Rock City Mall! Hivyo uwezekano wa Maambukizi ya Magonjwa Mbalimbali ukaendelea hata baada ya Tamasha Kuisha na Kusafishwa kwasababu kama walishindwa kuweka Vyoo Vya kueleweka Sidhani kama Wataweza kusaifisha vizuri.

DIAMOND HII AIBU YOTE NAIELEKEZA KWAKO! Jitahidi kuwa na Hata vyoo 50 mnapokuwa Kwenyw matamasha Yenu! Kilichotokea Mwanza Ni AIBU KUBWA SANA
Huo ni ushauri tu katika vitu waandalizi wa wcb festival wanapaswa kuzingatia.

Vijana wanajiari na kuleta ubunifu wao tunataka kuwa kikwazo kwa jambo dogo kama hilo.

Naamini hoja yako imesikiwa, watafanya maboresho.
 
Nadhani ni jukumu la watoa vibali kuweka masharti ya idadi ya vyoo kwny tamasha
 
DIAMOND HII AIBU YOTE NAIELEKEZA KWAKO! Jitahidi kuwa na Hata vyoo 50 mnapokuwa Kwenyw matamasha Yenu! Kilichotokea Mwanza Ni AIBU KUBWA SANA
Man, hapo unamlaumu vipi Diamond?! Kwa mfano hivi sasa aneelekea Madagascar, kwahiyo ulitatarajia kule nako awe na watu idadi sawa na hiyo ili kujenga vyoo?! Akienda US, UK, Uganda na kwingineko nako apeleke watu wa kuandaa mazingira safi?

Lawama hazipaswi kupelekwa kwa Diamond bali kwa mamlaka husika na ndio maana serikali inachukua kodi na ushuru mbalimbali kwenye haya matamasha! Huwezi kupata pesa bila kuingia gharama za kupata hiyo pesa!

Halmashauri ya jiji walikuwa na wajibu wa kuhakikisha tamasha linafanyika katika mazingira safi na salama! Kabla ya tamasha kufanyika, Bwana Afya alitakiwa akajiridhishe kuona watakaouza vyakula watauza katika mazingira gani, kama kuna idadi sahii ya vyoo itakayoendana na ukubwa wa tamasha na mambo mengine kama hayo! Kama Bwana Afya angeona mazingira hayaridhishi kiafya, alikuwa na haki na wajibu wa kuzuia tamasha kufanyika hadi mamlaka husika zirekebishe hiyo hali! Endapo angeona vyoo vinatosha lakini mazingira si salama kwa kuuza vyakula, angeweza kuzuia uuzaji wa vyakula!

Aidha, Jiji kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, nao pia walikuwa na wajibu wa kuhakikisha usalama kwa wahudhuriaji na kama ingeonekana hakuna usalama, Jeshi la Polisi wangekuwa na wajibu wa kuzuia tamasha husika!

Kama tamasha liliendelea, ina maana mamlaka husika zilijiridhisha kwamba it's okay to go! Sasa kama walisema it's okay to go wakati it's not okay, basi hao ndio hasa wanatakiwa kuwajibika!
 
Fursa ya biashara hiyo, kama unapesa anza na mobile toilets za kutosha na kuwa unazikodisha katika events kama hizo, asubuhi mnachukua mikojo na mavi ya watu tunapeleka katika shamba letu la spinachi kabage na mboga mboga
 
Back
Top Bottom