Huyo jolie Nani anamfahamu? Wasafi wanafanya mziki kwajili ya watu wengi na hitaji ya soko na ndio maana Ngoma zao nyingi zinakuwa hitsong kwa sababu zinapendwa na wengi.Hiv unazani kwanini wasanii wengi wa zamani wanaoachia Ngoma zao kwenye kipindi hiki Ngoma zao nyingi hazifanyi vizuri?Sijaona ubora wowote wa muziki kisa trend ambayo hutengenezwa na wati hao kucomment kwenye v husika
Ubora wa muziki hata Jolie kawashinda nje ya mahab yako otherwise uwe mwanafunzi unaesubiria.shuke kufunguliwa
Mwisho ni 6 hapo hao viumbe wa chini sijui umewatoa wapi mkuu.WCB kuna mitambo hatari ya kuzalisha mahitsong ya kutosha... naamini siku wakiamua wasafi wote and their co waachie nyimbo kwa pamoja. huko youtube trend ya 1-10 itatekwa..
itakuwa hv
1. mond
2. zuchu
3. rayvanny
4. mbosso
5. lavalava
6. romy jones
7. baba levo
8. dulla makabila
9. queen darlin
10. gigy mtonyo
IQ yako imefanana na mwandiko wako.Sijaona ubora wowote wa muziki kisa trend ambayo hutengenezwa na wati hao kucomment kwenye v husika
Ubora wa muziki hata Jolie kawashinda nje ya mahab yako otherwise uwe mwanafunzi unaesubiria.shuke kufunguliwa