Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
Watanzania tumejaaliwa majungu chuki na wivu , hzo ndizo zawadi Bora kabisa tulizoachiwa, na Kwa kweli tupo vizur na tunazitendea haki,.....thus why Sisi ni moja kati ya nchi kumi zenye umaskini wa kutupwa duniani, .... hata hvyo katika sekta ya burdani Tanzania, WCB isifananishwe na utopolo mwingine wwte , hata Kondegang kampuni tanzu ya WCB inachechemea against well organized WCB Wasafi ... Hope comeback ya Kiba itanogesha game
Endelea kuenjoy na wababe wa music Tanzania
Endelea kuenjoy na wababe wa music Tanzania