sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Huu ndio utaratibu mpya wa recording label namba moja Africa.
Japo hauwezi kuzuia watu wabaya kuwarushia maneno ila utapunguza wachimba chumvi kutema nyongo zao.
Kwa sasa kupata nafasi WCB Wasafi linakuwa ni jambo la kitaifa.
WCB for life baby!
===
Alichoandika Babu Tale.... Hivi karibuni tuta sain wasanii wawili kujiunga lebo ya Wasafi ila safari hii tumeamua msanii atakua na mashaidi wawili kutoka COSOTA na BASATA. Music ni biashara yetu na nijukumuletu kukuza na kusimamia hii kazi atuwezi kuacha hata iwe vipi.