Magu kafunga vyuma mpaka majaji.Mziki wenyewe kiujumla naona kwa sasa umepoa sana show hawapati wasanii vidili dili vya kwend sauth vimepungua
Naomba unitafsirie hapo kwenye red...Mimi na wewe hatukutani. Wewe unanifuatafuata.
Wapi nimesema Guru yupo hai?
Niliposema kuna documented beef ni wapi? Unajua kusoma?
Link unayotaka niweke ni ya nini?
Ulivyoandika ni kama mtu mwenye utapiamlo wa akili ambaye hajui kujieleza.
Unasema hakuna interview ambayo Guru anakataa kwamba hana beef na Fifty au hakuna interview inayoonesha Guru ana beef na Fifty?
Unaelewa kwamba unapoandika "hakuna documented beef" ni kitu tofauti na "hakuna interview kuhusu beef"?
Hii lugha unayoiborongaboronga unaielewa?
One way of spotting an illiterate nincompoop is their liberal use of "100% sure".
Mimi na wewe hatukutani. Wewe unanifuatafuata.
Wapi nimesema Guru yupo hai?
Niliposema kuna documented beef ni wapi? Unajua kusoma?
Link unayotaka niweke ni ya nini?
Ulivyoandika ni kama mtu mwenye utapiamlo wa akili ambaye hajui kujieleza.
Unasema hakuna interview ambayo Guru anakataa kwamba hana beef na Fifty au hakuna interview inayoonesha Guru ana beef na Fifty?
Unaelewa kwamba unapoandika "hakuna documented beef" ni kitu tofauti na "hakuna interview kuhusu beef"?
Hii lugha unayoiborongaboronga unaielewa?
One way of spotting an illiterate nincompoop is their liberal use of "100% sure".
Well saidHaving Respect & Staying humble
will take us places ,money cant
A foolish, stupid person.Naomba unitafsirie hapo kwenye red...
Haya yote unanitukana mm kisa kukuuliza?A foolish, stupid person.
****. Jinga. Dhalili wa mawazo. Masikini wa fikira.
Unaona sasa!
Hili ndilo tatizo lako. Post uliyoitoa ni ya uwongo.
Guru hajawahi fanya interview na kuongelea eti ana beef na 50 Cents. Ulichoandika hapo ni uongo mkubwa,umetunga just kujenga post na wewe kuonesha umechangia hii thread.
Tatizo unatakiwa ujibu hoja.Umeshindwa hilo.Attack hoja,acha kutukana watu personally.
Nimekwambia,attach link hapa kuonesha hayo mazungumzo kuhusu eti ana beef na 50.Hajawahi kua nayo,na hiyo interview unayosemea haijawahi tokea,ni uwongo tu umekuzidi.
Acha uongo,mtu mzima kua muongo ni vibaya sana!
Haya tukana!
Sijakutukana wewe. Ninekutafsiria kama ukivyoniuliza nikutafsirie.Haya yote unanitukana mm kisa kukuuliza?
Wewe unajuaje mtu hajafanya interview kuongelea kitu fulani?
Ulikuwa naye muda wote wa maisha yake yote?
Mimi nitapata ninibkudanganya kafanya interview wakati hajafanya?
Hoja ni ipi hapo unavyoona wewe? Unawezaje kusema mtu hajafanya interview kama ulikuwa naye maishabyake yote ukasema hiyo ni hoja?
Basi ahsante sana kakaa nolijua umenituso.Sijakutukana wewe. Ninekutafsiria kama ukivyoniuliza nikutafsirie.
Nikutukane kwa sababu gani?
Wewe unajua hata kujua ni nini?Alwatan
Nikikwambia nawajua kwa undani marehemu Elam (Guru) na DJ Premier tangu wakiwa Boston hawajaenda NYC,sio nasema for the sake of it..Nawajua vizuri.
Ndio maana nakwambia,I dare you,weka link hapa!
Marehemu Guru hajawahi kua na beef na Curtis Jackson,na nina media interviews zote za marehemu mpaka mauti yake.Hajawahi fanya interview akamzungumzia Curtis Jackson in any capacity,na hakua na beef lolote nae.Ninasema hivi kwa maana ninajua.Post yako uliyotoa ni uongo mtupu,na ulifikiri watu watakua hawamjui Guru kwa karibu hivyo watakua na uelewa suspect.
Hiyo beef haipo,na hiyo interview haipo kabisa.Weka ushahidi hapa.
Na sisemi hivi kubishana na wewe.Im a hiphop head,na Gangstarr is my number hiphop duo of all times,I have all their materials.
Kama kweli wewe ni mkweli,niwekee hiyo interview hapa tumalize mabishano!Simple!
Wewe unajua hata kujua ni nini?
Wewe unayeandika "100%" kinyela kama mtu aliyekimbia umande unajua kujua ni nini?
Minyela ni kwa kujinyea.Mzee Alwatan,
Ndio umeandika nini?
Hebu niambie ni nini maana ya "kinyela"?Kua serious mtu mzima wewe!
Unadhani ukitukana mtu tatizo lako la kusema "UONGO" ndio linaondoka?
Hebu weka ushahidi hapa acha kujificha kwenye "matusi" yako ya kitoto!
We are waiting!
Minyela ni kwa kujinyea.
Wewe unajiita mshabikibwa hip hop wakati hata Kiswahili cha kitaa tu hujui.
We wakuja tu.
Hip hop yenyewe unadandia tu ndiyo maananhujuibwapi pa kutia neno na wapi pa kunyamaza.
Hujaniambia kama unajua kujua ni nini hata kujadiliana nanwewe mpaka sasa nabahatisha tu.
Kujua ni nini?Hahahahaa
Unaanza kujificha kwenye mambo ya kitoto.
Guru unamjua juu juu tu.Humjui vizuri.Umetunga post ambayo ni pure fictional.
Hiphop naijua,Guru pamoja na DJ Premier nawajua pamoja na kazi zao tangu nikiwa na miaka 15.Hunibabaishi kwa hilo.
"minyela","kinyea",etc havina msingi kwenye hii hoja ya wewe kusema UONGO kuhusu Guru.Hey,najua "Kujua",na pia haina nafasi hapa,chenye nafasi hapa ni wewe kudhibitisha hujasema UONGO!Unajaribu ni kuleta sideshows kukwepa aibu ya kutunga UONGO mkubwa namna ile.
Bado,hujatudhibitishia ulichosema ni KWELI na wala si UONGO!Weka link hapa.Au kwa kukusaidia,nitajie tu ni interviewer gani alim-interview na walao tarehe au mwaka tu then nitajua.Do the needful.