Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikikwambia sikumbuki tarehe, jina, mwaka, wala sina link ya hiyo interview, kwa sababu imekuwa miaka kadhaa, na nimetafuta online siioni, utathibitishaje kwamba mimi ni muongo na si kweli kwamba niliona hiyo video?Alwatan,
Kwanza kabisa:
1.Decorum : Behaviour in keeping with good taste and propriety.
Haya sasa,hua ukiwa huna chakujibu unakimbilia viingereza vya kiduwanzi.
Pili,nimekuomba unitajie walao jina la interviewer,au tarehe au mwaka au walao outlet media gani hiyo interview ilifanyika.Hukuweza.
Tatu,nimekuomba walao basi u-attach link ya hiyo interview hapa,hukuweza na huwezi maana huna kwasababu wewe ni MUONGO!
Tatu,najua "kumjua mtu" ninayoifahamu mie ni kumfahamu,hiyo yako kaa nayo wewe.
Nne,nimekuhakikishia,ulichosema ni cha uongo,hakuna any connection kati ya marehemu Guru na bwana Curtis Jackson ya aidha kikazi,ki-beef,kimaongezi,au chochote.Nikakuomba tuweke ushahidi wowote hapa unaosema otherwise.Tafuta hata Google huko utupatie walao hata link tu.Huwezi maana hakuna connection yoyote.
Tano,wewe ni MUONGO,ile posti yako yote ni ya UONGO mtupu maana ulichokisema pale chote hakijawahi kutokea hapa duniani kumhusu marehemu Guru.Hakipo,hakiwahi tokea,hamna chochote,umetunga wewe kwenye ubongo wako dhalili!
Sita,uthibitisho kua ni KWELI ni wewe unatakiwa uutoe kutunyamazisha sisi tunaosema hakuna material yoyote dunia hii yanayoonesha Guru akihojiwa na mwanadamu yoyote duniani kuhusu 50 Cent na yeye katika kitu chochote!
Tuwekee link tu hapa.Au tupe walao moja ya haya yafuatayo:
1.Jina la interviewer
2.Jina la media outlet
3.Tarehe na Mwaka,au Mwaka pekee.
4.Eneo
Mimi nina uthibitisho kwamba wewe ni muongo.Huna lolote,muongo tu!
Eti "natafuta link sijui kama ipo hewani",still unazidi kudanganya!Humu hakuna watoto!
Hivi kutafuta interviews za important person kwenye hiphop culture kama Guru inachukua muda gani?
Nia yako ya kuhusanisha huo mfano wa uongo na WCB ni sawa,ila mfano huo haujawahi kutokea,ni kitu umetunga!
Sasa hivi unaweka kisingizia eti cha "link",uongo umekujaa umekosa pakujishika!
Tatizo lako ni muongo halafu una tabia mbovu sana ya kutukana watu ukiwa huna majibu sahihi ya hoja za watu!
Endelea kwenda chimbo,utuletee hiyo link hapa kama utaipata!
Hata mwaka na tarehe na interviewer hujui?
Nikikwambia sikumbuki tarehe, jina, mwaka, wala sina link ya hiyo interview, kwa sababu imekuwa miaka kadhaa, na nimetafuta online siioni, utathibitishaje kwamba mimi ni muongo na si kweli kwamba niliona hiyo video?
Wewe unapoangalia kila video ya Youtube unaiandika link kwenye diary ili siku moja ukiulizwa utaje tarehe, utoe link, na kusema mtangazaji alikuwa nani?
What kind of stupid inquiry is this?
Unaweza ku prove kwamba nadanganya?
Unaweza kuniwekea uthibitisho kwamba nadanganya hapa?
Wewe unajua kwamba ni mpumbavu unayeandika vitu bila hata kufanya Google search?
Kwa sababu umesema hakuna link yoyote kati ya Guru na 50, na hakuna kitu ninachojua kuhusu Guru ambacho wewe hujui.
Apparently hata hii track huijui.
Mimi nina uthibitisho kwamba wewe ni muongo.
Umesema hakuna ninachojua kuhusu Guru ambacho wewe hujui.
Umesema hakuna link kati ya Guru na Fifty.
Umeongopa, Guru na Fifty wana track hii, ambayo hukuijua.
Nimethibitisha wewe ni muongo, wewe hujathibitisha kwamba mimi ni muongo.
Umekubali kwamba hujui yote kuhusu Guru na kuna mengine nimejua ambayo wewe hujui?Bwana Alwatan
Hujui tarehe,hujui mwaka,humjui interviewer wala hujui ni media gani,sasa wewe ni mwana hiphop kweli?
Kama hayo yote huyajui,ni kidhibitisho tosha kabisa hili tukio halijawahi tokea umelitunga tu.
Hivi unaelewa all hiphop materials from the begining in 1970's mpaka leo hii yapo preserved tena online na tena kwa mtu muhimu kama Guru [Keith Ed Elam]?Wewe leo hii kutoka huku mavumbini una claim kulikua na interview ya godfather of hiphop Guru imefutwa?Hivi unaelewa anything posted online can never be deleted forever?
Hoja yako ya link kupotea ni ya kipumbavu mno,na mtu yeyote mwenye akili akikusikia unasema haya atakuona wa ajabu sana!
Hivi unajua Guru's all of his contents,music,interviews,shows,movie cameos,studio sessions,etc zipo online?
Jitu zima kua ongo namna hii ni aibu sana!
Hahaaa, unabadilisha maneno sasa.Acha utoto!
Hii studio blend na imejengwa baada ya marehemu kufariki long time.
Marehemu hajawahi kua na studio sessions na 50Cents,hajawai toa kazi yoyote na 50,wala hajawahi kua na beef yoyote na 50 na wala hajawahi toa interview yoyote kuhusu yeye na 50Cents.
Unaleta kazi ambazo ni studio made baada ya Guru passing!It is shame!
Guru Post-passing featurings zipo nyingi hadi na Elvis Presley,na hizi zinajengwa ku-extend materials ya mwanamuziki baada ya kufa!
Acha kujiaibisha zaidi mkuu.
Ni bora uache tu maana waelewa wakiona huu ujinga unajifanya ndio utetezi watazidi kukudharau sana!Be a man and move on!
Umekubali kwamba hujui yote kuhusu Guru na kuna mengine nimejua ambayo wewe hujui?
Utasemaje interviews zote za Guru zipo online? Interview za Guru zilianzia mwaka gani?
Hahaaa, unabadilisha maneno sasa.
Ulianza kusema hakuna connection yoyote, sasa unabadili kusema hakuwa na studio session.
Nina hakika gani nikileta hiyo link ya video hutasema haipo katika quality ya 4k hapa?
Get the fvck outta here.
Hahaha,Duh
Huu upumbavu sasa!
Yaani unatuletea Guru's studio's post-passing featuring kama udhibitisho walifanya kazi pamoja?Hivi mzima wewe kweli?
Halafu swali gani hilo la kijinga namna hiyo?Interview zilianza mwaka gani?Una mark scheme ya kunisahihisha wewe?Au unajichanikia tu?
Tuanomba utoe ile post ya uongo,kua mstaarabu,toa tu ubakishe hiyo heshima kidogo iliyobaki.Usiharibu zaidi.
Umesema hakuna connection yoyote kati ya Guru na Fifty, umedanganya.Mzee
Lini utakua na kuacha matusi?
Nilidhani walao una ounce ya uelewa wa hiphop,ila nimejihakikishia huijui!
Ni kama marehemu Bob Marley kafanya featuring na Lost Boyz kwenye wimbo wa Guiltness.Wewe kwa akili yako unaona marehemu Bob Marley alikua na mahusiano na connection ya kikazi na Lost Boyz?Really?
Hujui lolote!
Mkuu,dhibitisha,weka link ya hiyo interview!Tunasubiri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi na wewe hatukutani. Wewe unanifuatafuata.
Wapi nimesema Guru yupo hai?
Niliposema kuna documented beef ni wapi? Unajua kusoma?
Link unayotaka niweke ni ya nini?
Ulivyoandika ni kama mtu mwenye utapiamlo wa akili ambaye hajui kujieleza.
Unasema hakuna interview ambayo Guru anakataa kwamba hana beef na Fifty au hakuna interview inayoonesha Guru ana beef na Fifty?
Unaelewa kwamba unapoandika "hakuna documented beef" ni kitu tofauti na "hakuna interview kuhusu beef"?
Hii lugha unayoiborongaboronga unaielewa?
One way of spotting an illiterate nincompoop is their liberal use of "100% sure".
Hahaha,
Umesema interviews zote za Guru zipo online, wewe ndiye mwenye marking scheme, umetaja mpaka ujuzi wa 100%.
Ili ujue zote zipo online hakuna zilizo miss, inabidi ujue angalau mwaka alioanza kufanya interview.
Nimekuuliza, interviews zake zimeanza mwaka gani?
Hujajibu, unakimbia swali.
Kwa sababu wewe ni mpumbavu, unatoa kauli za kipumbavu.
Utasemaje interview zote za msanii zipo online?
Wewe ni mkewe?
Sasa km clouds hawapigi nyimbo kisa anaurafiki na Rc. Yaani Ruge anataka adui yake awe adui wa kila MTU. Si utoto huu...Clouds wanataka kumcontrol kil msanii hata Diamond awe chini yao kitu ambacho jamaa hataki. Yaani Ruge anataka kujifanya yeye ndiyo injia wa mziki mjini. One day Yes utashuka tu. Haiwezekani wasanii wawe chini ya Media. Ni ushithole tu.
Majizo hapigi nyimbo za wasafi kisa Diamond alikuwa ana anatembea na mzazi mwenzake.( mobeto). Yaani tena huu utoto mkubwa sana.
EATV wanachuki diamond kitambo sana.. Ugomvi binafsi wa dulla na diamond na ukaongezea hii zaidi. Eatv wanamaind diamond anawadharau. But viblogu vyao uchwala km vya yule sam misago vinamtangaza diamond.
Diamond kushushwa kazi sana..watampunguza nguvu tu but siyo kumshusha.
Ushithole wa Africa haukwepeki na upo kila sehemu. Binasfi huwa siangalii TV za Tanzania zaidi ya azam two taarifa ya habari tu. Mambo mengine IG,jamii forum inatosha
Umesema hakuna connection yoyote kati ya Guru na Fifty, umedanganya.
Uthibitisho nimeweka hapa.
Umeniita muongo, hujaweka uthibitisho wowote kwamba mimi ni muongo.
Umesema interviews zote za Guru ziko online.
Nimekuuliza kaanza kufanya interviews mwaka gani?
Umeshindwa kujibu.
Hakuna connection ya marehemu Guru na 50Cents.
Hajawahi kua na ukaribu wa aina yoyote aidha ki-beef,kikazi,kim-interview au chochote whatsoever na bwana 50Cents!
Ulichofanya cha ajabu ni kuweka a post-passing studio made featuring track na 50Cent ambayo haina meaning yoyote.Yale ni maelewano ya Guru's Estate na 50Cents,na sio marehemu Guru.Guru alikua ashakufa miaka mingi iliyopita.Itoe kwenye list kabisa.
Hilo swali ulilouliza linataka kugeuza mjadala tuanze kufuata maswali yako ya kiduwanzi.Kilichopo hapa ni wewe utuwekee hiyo interview ambayo cha ajabu duniani hapa uliiona wewe tu halafu ikatolewa online!
Tuwekee hapa.
Hakuna connection wakati familia ya Guru inapata royalties za wimbo wa guru na Fifty?
Umeshindwa kunipa jibu interview za Guru zinaanzia mwaka gani.
Unasema hakuna interview ya Guru ambayo haipo online, kama wewe mkewe vile.
Wakati hujui hata mwaka alipoanza kufanya interview ni mwaka gani.
First off get the names right.Mzee
Yaani umekosa kabisa majibu mpaka umeamua kuhamia kwenye Guru's estates?Mali za marehemu!Yaani wewe jamaa ni mweupe sana!
Hoja ya swali tushaimaliza.Huna marking Scheme ya kunisahihisha jibu langu,hivyo swali lako halina maana.Ungesema naomba nielimishe Guru alianza kutoa interview kama aspiring hiphop artist mwaka gani,ningekuelimisha.Ila unakuja na swali kwa arrogance na uka-admit kabisa huna marking scheme.Thats dead issue!
Hiphop fan wa Guru nina liberty kabisa ya kujua his artistic activities including interviews zake,hiyo sio kazi ya mkewe!Mimi kujua interviews zake eti ndio nimekua mkewe,hivi wewe unatumia ubongo kweli?
Conclusion kwamba sijui mwaka alioanza interviews umeipatia wapi?Umegeuka mganga wa kienyeji?Pamoja na hayo,hilo si swala hapa.Swala hapa ni wewe kutupatia hiyo interview!
First off get the names right.
It's 50 Cent, not 50 Cents.