WCB Wasafi wamebaki wakiwa..Tatizo ni nini?

WCB Wasafi wamebaki wakiwa..Tatizo ni nini?

Hahahaaa

Alwatan,yaani umeelemewa kiasi hicho mpaka umeamua kua mwalimu wa English?

Hebu tupatie hiyo mysterous interview ya marehemu Keith Elam akielezea beef yake na bwana Curtis Jackson aka "50 Cent".Nadhani nimepatia "50 Cent"!

Waiting!

Wewe kubali huna ujualo, rudi darasa la kwanza jifunze spelling.

Kwanza nipatie mwaka Guru alioanza kufanya interviews ili search yangu nilenge vizuri.

Maana umesema interviews zake zote zipo online.

Unamjua kuliko mkewe, bila aibu.
 
Kwanza nipatie mwaka Guru alioanza kufanya interviews ili search yangu nilenge vizuri.

Maana umesema interviews zake zote zipo online.

Unamjua kuliko mkewe, bila aibu.


Eti "search yangu nianze vizuri"....

Huna lolote..

Umekunya nje na kudhani huonekani!

Ume-confuse beef ya Jah Rule na 50 Cent wako huyo na marehemu Guru!

Guru ni too cerebral,hawezi kua na beef na mainstreams.Ni one of the cornerstones ya hiphop,na ni one of the most respected MCs.Historically Guru hana beef nyingi,ana fewest.Hujawahi kua shabiki wa Guru,wala humjui Guru wala huna uelewa wa kazi zake kama unavyojinasibu hapa.

Sio lazima ujue kila kitu,sometimes unakubali shortcomings zako na kwenda mbele.Acha kuendelea kujiporomosha namna hiyo.All true hiphop heads wakipitia hii thread,they will rape you on the broad daylight!
 
Eti "search yangu nianze vizuri"....

Huna lolote..

Umekunya nje na kudhani huonekani!

Ume-confuse beef ya Jah Rule na 50 Cent wako huyo na marehemu Guru!

Guru ni too cerebral,hawezi kua na beef na mainstreams.Ni one of the cornerstones ya hiphop,na ni one of the most respected MCs.Historically Guru hana beef nyingi,ana fewest.Hujawahi kua shabiki wa Guru,wala humjui Guru wala huna uelewa wa kazi zake kama unavyojinasibu hapa.

Sio lazima ujue kila kitu,sometimes unakubali shortcomings zako na kwenda mbele.Acha kuendelea kujiporomosha namna hiyo.All true hiphop heads wakipitia hii thread,they will rape you on the broad daylight!
Nani kasema Guru alikuwa na beef?

Unajua kusoma?

Unaelewa hata unachobisha ni nini?

Au unaparatia wanaume tu?
 
Nani kasema Guru alikuwa na beef?

Unajua kusoma?

Unaelewa hata unachobisha ni nini?

Au unaparatia wanaume tu?


Brother,beef ya kweli au fabricated hiyo ni level II.

Sikusema aliongelea kua WANA au HAWANA beef.Usiniwekee maneno kinywani.Kwasababu hayo maongezi hayajwahi kuwepo.Nachojua kama mshabiki wake kwa 18 years now,hana beef au mahusiano yoyote na 50Cent.Kama yapo nilishakuomba weka hapa link nitakua tayari kuhama JF.

Entry level ni jee ni ukweli marehemu alitoa maneno kinywani mwake kuzungumza anything kuhusiana na beef ya any type kumuhusu yeye na 50 Cent katika uhai wake?Jibu ni kwamba,hajawahi,na ulichokisema ni uongo,umemzulia marehemu interview ambayo hajawahi ifanya na hajawahi ongea maneno yoyote kumhusu 50 Cent!

Ni simple tu,huna haja ya kutumia nguvu nyingi sana kuelezea vitu,weka tu link au jibu maswali yale ya who interviewed him,when and where?Sisi tukuletee data!
 
But good news,winners know how to win...na inabidi uweke kwenye kichwa chako daimond kanyimwa elimu ya darasani tu ila ana akili kubwa sana...mwenzako saivi anawaza WCB radio na tv..kapata wapi hayo mawazo?narudia tena "winners know how to win".
 
Sasa km clouds hawapigi nyimbo kisa anaurafiki na Rc. Yaani Ruge anataka adui yake awe adui wa kila MTU. Si utoto huu...Clouds wanataka kumcontrol kil msanii hata Diamond awe chini yao kitu ambacho jamaa hataki. Yaani Ruge anataka kujifanya yeye ndiyo injia wa mziki mjini. One day Yes utashuka tu. Haiwezekani wasanii wawe chini ya Media. Ni ushithole tu.

Majizo hapigi nyimbo za wasafi kisa Diamond alikuwa ana anatembea na mzazi mwenzake.( mobeto). Yaani tena huu utoto mkubwa sana.

EATV wanachuki diamond kitambo sana.. Ugomvi binafsi wa dulla na diamond na ukaongezea hii zaidi. Eatv wanamaind diamond anawadharau. But viblogu vyao uchwala km vya yule sam misago vinamtangaza diamond.

Diamond kushushwa kazi sana..watampunguza nguvu tu but siyo kumshusha.


Ushithole wa Africa haukwepeki na upo kila sehemu. Binasfi huwa siangalii TV za Tanzania zaidi ya azam two taarifa ya habari tu. Mambo mengine IG,jamii forum inatosha
Inawezekana maoni yako yapo sahihi kwa mtazamo wako , sio mbaya, lakin nikukumbushe tu vyombo vya habari vina nguvu kubwa saana dunian vikiamua kukupandisha vinaweza, na kukushusha pia, diamond usimpe kiburi ajisahau vyombo vya hapa tz ndivyo vilimpaisha pamoja na juhudi zake pia, huwezi kuvidharau hata dk 1 , pia nakushangaa unavyosema huangalii TV za hapa sasa ungemjuaje diamond bila tv za nyumban kwetu,
 
Hakuna kijicho,Binadamu hukishapata mafanikio kiburi kinaongezeka,dharau zinajaa na kuwa-ignore waliokussupport especially presenters et al,ndio maaana Ginuwine aliimba "SAME OL G",(Mnyalu HATA KAMA),ndio hasa sababu ya Wadau kumuacha.
'the cat' umetisha....madogo kweli wamejisahau
 
Kuna muda lazima ukubali tu kuweka sawa bifu pembeni ili kufanikiwa kimuzik mfano sio watz wengi wana access na internet wengi bado wanasikiliza radio/TV kwahiyo sizan kama kiburi kitawasadia wcb

Kuna umuhimu wa kujitafakari ili mambo yaendee
Wasafi hawajakuwa na kibuli..hao mameneja wameomba sana wapigiwe wasanii wao hata diamond mwenyewe anaingia front but hawapigi. Tatzo utafanyaje? Tena wakuda clouds habari za kimbea kimbea za suddy ndiyo wa kwanza za wcb but nyimbo hawapigi.

Miafrica ni mijitu ya ajabu sana.
 
Hilo swali nililiua kwa hoja!

Tatizo,ulikua umepaniki sana mpaka ukawa hujui unakoelekea.

Nilikuuliza tu,unaniuliza swali una marking scheme walao ya kunisahihisha maana I knew u know nothing about Guru and Gangstarr that deep,ukajibu huna...basi swali linageuka linakua kwamba unaomba information guru alianza lini ili nikuelimshe.Wewe ulileta swali kwa nyodo kwa minajili ya kupima uelewa wangu wakati wewe huna uelewa wowote wa ukiulizacho.

Swali likafia hapo hapo.

Hoja ikabaki,wewe udhibitishe "UKWELI" wako kwa hard link,au anything,au hata by guesses,au induction au by deduction..bado zote umefeli vibaya mno.

Ulivyo bure unarudia swali la kijinga ambalo hata mtu tuasiejua chochote aki-google hapo anakupa jibu.

Hebu jieweke kwenye hoja yako uliyoishindwa.Ijibu hata kwa guesses tukutoe kamasi kwa counter proofs hapa.
Wewe unayesema interviews zote za Guru zipo online kama ulikuwa naye maisha yake yote, utaijua hoja ni ipi na kiroja ni kipi?

Utaanzia wapi kujua tofauti ya hoja na kiroja?
 
Nina imani wengi mnaufuatilia huu mtanange wenye povu la kutosha toka kwa Al watan manyota
 
Back
Top Bottom