WCB Wasafi wamebaki wakiwa..Tatizo ni nini?

WCB Wasafi wamebaki wakiwa..Tatizo ni nini?

S

Shigongo alijaribu akashindwa juzi kareport tukio la Hyatt kauza magazeti kama hana akili kapiga kopi mara mbilimbili WCB ni kama maji tu utayasusia kisa yamesomba mazao yako shambani,wakati huo huo unayahitaji uyanywe na kusafishia mwili wako.....by the way Clouds wanapiga ngoma za wcb kama kawaida tu na wanamtangazia Diamond Karanga kila siku....Don talk myth speak the fact....japokuwa hii hoja yako ningependa ichukuliwe kama ushauri na sio going on act....!!
Cloud FM na TV hawapigi ngoma za diamond na crew ya wasafi..!! Hata wewe ukiwa na tangazo ukalipitia utapiguwa tu
 
MKuu usicheze na Media,Media zina nguvu sana,zinaweza kukushusha na ukapotea kabisa kwenye ramani,utabaki kupigwa kwenye bajaji na bodaboda tu.
ukishakuwa na nguvu kwenye social network...yeyote....Mfano Instagram na YouTube... basi ujuwe ata media zikogoma kuplay nyimbo zako...unakuwa umeshawin.sasa Diamond kweny social network yuko vizur yeye na wasanii wake.
 
Sijui kama Chris Brown anategemea nyimbo zake zipigwe Radioni ndio shughuli zake ziende.
 
Mziki wenyewe kiujumla naona kwa sasa umepoa sana show hawapati wasanii vidili dili vya kwend sauth vimepungua
Kwani wasaniii walikuwa wanaenda kwa ajili ya mziki au Mambo ya madawa ya kulevya
 
Hivi hao jamaa bado wapo? Sijawasikia muda sasa. Kiburi kwa media hakitawaacha wakiwa salama.
 
A nice one!

Sadly, staying humble is a habit that takes years to develop!

It's an art and probably a talent!

It's not for everyone!
It's possible...It can be achieved!

...Thru false pretense and manipulation,

I have done it, doing it...and i will continue doing it!

...Escaping the enemy, is not easy task!

REMEMBER, always the strong survive
 
Wanasema pata hela tukujue tabia yako Heshima inaanzia nyumbani ukianzia mama yake kutwa vijembe anatukana watu insta uhuni vibenten yote yake dada yake nae bendera fataupepo wanajiona kama watoto wa bakhresa vile, domo skendo za hovyo hovyo kuto muheshimu mke wake umalaya uliokithiri kuchezea mabinti hata under 18 ngono inanuka kwanzia kwao mpaka ofice nzima, kiki za kipumbavu kila uchwao tume wachoka domo umalaya umepiku kazi zake sasa hivi mpaka ma dancer wanavimba sijui wanajiona kina nani haswa, ngoma ikilia sana mwishowe hupasuka wakwendeee[emoji57]
Zari hadi uku unama fekero
 
Back
Top Bottom