Wewe na Chama lako mtakuja kupotea nakupotezewa na jamii hamtakaa kuamini, ndipo nyinyi mtakapojipiga vidole sio tu kujitekenya.Unajitekenya halafu unacheka mwenyewe
Sawa shekh yahya wa piliAlama za nyakati
Jitoe ganzi
Upeo wako ndo umeishia apo....Wewe na Chama lako mtakuja kupotea nakupotezewa na jamii hamtakaa kuamini, ndipo nyinyi mtakapojipiga vidole sio tu kujitekenya.
Hatulipi baya kwa jema sisi, ukileta maneno hovyo tunakulipa maneno hovyo tuu.Upeo wako ndo umeishia apo....
[emoji122][emoji122][emoji122]
Endelea kujichetuaHatulipi baya kwa jema sisi, ukileta maneno hovyo tunakulipa maneno hovyo tuu.
We endeleza uwendawazimu tuu.Endelea kujichetua
Asante sana ndugu YanguSawa shekh yahya wa pili
HahahahaSawa shekh yahya wa pili
kweli mkuu hawa clouds ni wangese sana ipo siku watashuka, tulikua na tbc taifa,kisha earadio sasa ni wao clouds .its a matter of time watashuka tu, wanajikuta miungu mtu, wananiboa kinyama, wanataka kusujudiwa kama ruby alichokifanya, kwa mond watasubri sanaSasa km clouds hawapigi nyimbo kisa anaurafiki na Rc. Yaani Ruge anataka adui yake awe adui wa kila MTU. Si utoto huu...Clouds wanataka kumcontrol kil msanii hata Diamond awe chini yao kitu ambacho jamaa hataki. Yaani Ruge anataka kujifanya yeye ndiyo injia wa mziki mjini. One day Yes utashuka tu. Haiwezekani wasanii wawe chini ya Media. Ni ushithole tu.
Majizo hapigi nyimbo za wasafi kisa Diamond alikuwa ana anatembea na mzazi mwenzake.( mobeto). Yaani tena huu utoto mkubwa sana.
EATV wanachuki diamond kitambo sana.. Ugomvi binafsi wa dulla na diamond na ukaongezea hii zaidi. Eatv wanamaind diamond anawadharau. But viblogu vyao uchwala km vya yule sam misago vinamtangaza diamond.
Diamond kushushwa kazi sana..watampunguza nguvu tu but siyo kumshusha.
Ushithole wa Africa haukwepeki na upo kila sehemu. Binasfi huwa siangalii TV za Tanzania zaidi ya azam two taarifa ya habari tu. Mambo mengine IG,jamii forum inatosha
utakua ni nani wew NICK WA PILI nn?Hata mimi hawapigi nyimbo zangu hii wiki ya pili sasa
Kwa wasiofatilia mambo wanaweza shangaa naposema WCB wamebaki wakiwa. Yes, sababu awajawai toka kwenye public na kukiri haya mambo nayoenda kuyasema hapa.
Ni wazi kama utafanya tafiti yako ya uongo na kweli utagundua media zote kubwa za bongo zimesusa kupiga nyimbo za WCB iwe Tv na Radio.
Mwanzoni WCB walikuwa na mgogoro na EATV lakini kwa sasa unazidi kuenea si Clouds media wala EFm kote awachezi nyimbo za Wcb.
Ata supporters wao wakubwa na wenye ushawishi kwenye mitandao especially tweeter na Instagram wamewapotezea.
Inawezekana yote haya yanatokea sababu watu wanaona kijicho na mafanikio ya Wasafi lakini pia haya yanaweza kutokea sababu mapungufu yaliyopo WCB.
Kwa sasa WCB ni kama ukoo kambale kila mtu ana ndevu.
Nimemskia juzi Tale anatamka hadharani kuwa awatanyenyekea media yoyote itayotaka kuwakwamisha akarudia hiyo kauli mara nne..ilo ni tatizo tayari, awajafika uko wanapodhani wamefika. Wanakuja na Tv yao lakini bado awajafika pale wanapodhani.
Mara nimesikia dansa wa Diamond kawatishia uhai watangazaji wa shilawadu mpaka kuwaumiza. Mpaka sasa uongozi wa wcb awajasema lolote kuonyesha kutounga mkono kitendo hicho.
Nimeona mpiga picha wao anamshambulia mkongwe wa muziki Ray C akimuita marehemu wa muziki.
Na mengine mengi, yote haya yanaonyesha kiburi cha mafanikio kimejaa pale WCB si viongozi mpaka wafagiaji wote nyota zinawaka mpaka wamejisahau wamevimba vichwa wameota mapembe.
Wamesahau msingi mkubwa wa mafanikio ya Diamond mpaka anafika hapo na kuifikisha hapo Wasafi ni UNYENYEKEVU.
Inawezekana kuna mambo wanakumbana nayo yanawalazimu kufikia hatua hii ila lazima waelewe biashara ya Entertainment ni biashara ya kibepari.
Naomba hii timu ijitafakari wakati wanauanza mwaka, kuna kitu hakipo sawa.
Mwl Nyerere alitunga kitabu kinaitwa Tujisahihishe, mkipata nafasi kitafuteni mkisome mtajifunza kitu kuhusu kujisahihisha... Kujisahihisha sio kujishusha.
Mtaenda Hyatt mtaenda Mwembeyanga but you still need media houses & media people.
Ni mtazamo tu, kiroho safi!
utakua ni nani wew NICK WA PILI nn?
Hapa meneja wa WCB akiwa na mmiliki wa clouds media groups wakiteta mambo yao makubwa.
Na kupata muda wa dinner yenye future zidi ya WCB wasafi.
KAMA MWENYE MBWA KASEMA NDIO WW NANI WAKUSEMA HAPANA JU YA DIAMOND [emoji184] na lebo yake.
Picha hz zote ni DUBAI anakoishi CEO
4-2-2018
Haya sawa....Jiulize kwa nini Lavalava na Mbosso wanatoa nyimbo mpya wanaenda zitambulisha radio zote kasoro Clouds, Efm ?