Barcelona763
Member
- Mar 9, 2018
- 26
- 21
ushidani wa kutoa nyimbo kutoka wasafi records. Rich Mavoko malalamiko yake inaonyesha kuwa upedeleo kati ya wale wanaopewa kibao katika lebo hiyo. Rich Mavoko lazima ajiondoae kwenye lebo hiyo aikoe career yake ya muziki.C.E.O wa lebo ya WCB Wasafi Diamond Platinumz hajafanya lolote kuhusu malalamiko yake inaonyesha hana uongozi mzuri.