WCB wawapa kichapo Shilawadu

WCB wawapa kichapo Shilawadu

Siamini kama wakata viuno nao wapo fiti
 
Habari za kunyapia zinasema kuwa usiku wa jana damu imemwagika. Baada ya vijana wa Wcb kuwapa kichapo cha mbwa mwizi wambea wa Silawadu sudi brown na kwisa mzee mkavu.

Inasemekana sudi brown kabaki na mapengo awezi tena kutamka Shilawadu

Chazo ni shilawadu kufatilia ishu za wcb.

mambo ni motoooooooo
Hiyo inaitwa shilawadu shilawaduni
Inabidi wajishilawadushe
Nadhani ingenoga zaidi
 
Kama matatizo kazini ni kichapo, basi hiyo kazi haifai.
 
Safi, wangewadunda na waandishi wa Udaku wa Shigongo ingekuwa poa
 
Back
Top Bottom