PrincessAnne
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 1,875
- 2,224
Huyu ndio shilawadu auView attachment 689274kwa niaba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ndio shilawadu auView attachment 689274kwa niaba
Ni mfano tuuHuyu ndio shilawadu au
Umeona Wapi channel ganiHahahaha...nimeona youtube ile ni kichapo cha mbwa mwiz
Dancer wengi wakakamavu miili Yao iko flexible moso iyobo unamwonajeDancer anakupigaje kirahisi hivyo.
Hiyo inaitwa shilawadu shilawaduniHabari za kunyapia zinasema kuwa usiku wa jana damu imemwagika. Baada ya vijana wa Wcb kuwapa kichapo cha mbwa mwizi wambea wa Silawadu sudi brown na kwisa mzee mkavu.
Inasemekana sudi brown kabaki na mapengo awezi tena kutamka Shilawadu
Chazo ni shilawadu kufatilia ishu za wcb.
mambo ni motoooooooo
MMMH hii sura si kati ya wale shilawadu kabisa......View attachment 689274kwa niaba
tegemea wcb kupigwa ban cloudsNilitegemea wangevunjwa mbavu au uti wa mgongo ili wajue umbea una mipaka....
Wamechapwa na IyoboChai ya moto sana hii
... Mnaambiwa Kwisa kala vichwa viwili vya kijeshi, Soudy kala mitama double double alikuwa anageukia hewani..Uwiiii mambo ni hiviii ni motooo...
kwahiyo hata akiahikishwa ukuta ..kwakuwa analipwa sawa..au sio ?mwenzio analipwa kutokana na kazi hiyo
Takataka kabisaHao ni waandishi wa habari au taka taka?
MMMH hii sura si kati ya wale shilawadu kabisa......
Ni mfano tuu
tegemea wcb kupigwa ban clouds
tegemea wcb kupigwa ban clouds
Hahahhahaa mose iyobo nomaaaaaa sana we jamaa safi hii ndo dawa ya wanaume wambeyaaView attachment 689274kwa niaba