WCB ya Diamond,kilefu na maana yake

Mbona Bad Boys ya Diddy ilikua na wanawake?sema uwezo wa kujieleza mngeulizwa kama boys mbona ina wanawake ndo majanga
 
unasema kwamba ilichaguliwa BABY ili kuhusisha jinsia zote....
Kuku kweli wewe.. Wewe kama ni baby wa diamond ni wewe tu..
Usitukane watu hapa.

Mwambie huyu kiumbe sijui wa wapi
 
Umeleta ujinga hapaa hebu nenda kwa ---- mwenzako unaongelea graphics nayo kazi sikuhizi kuna wachoma cd kariakoo wana fanya kwa ustadi na wewe una lopo mapera hebu rudini shule kwanza wewe uliye leta hii na diamond wako

Mbona umeongea kwa chuki sana.una matatizo gani?
 
Mkuu mambo mengine mnayo fanya mnajiaibisha. Sasa haya ndo mambo gani. Nyie imbeni tu haya mambo mengine waachie hard blasters. Mia
 

Wote hao anawalipa nini? mbona sijaona mwanasheria hapo?
 
Nijuavyo mimi kuna tofauti kubwa sana kati ya “a man and a boy“ ila kwa haya niyaonayo kwako nashindwa kukwita a man nor a boy hivyo basi wewe ni still a male

Unapoanzisha uzi hakikisha unakua na mashiko


Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Nasifia kampuni nayofanyia kazi.
we kama huridhishwi na kaz yako/kampun ulipo kias huwez hata kuisifu mbele za watu,ni wewe

Usikute yule jamaa huwa anawatembezea wote ule mdushelele wanaogombea wakina wema na penny
 
Nasifia kampuni nayofanyia kazi.
we kama huridhishwi na kaz yako/kampun ulipo kias huwez hata kuisifu mbele za watu,ni wewe

Kampuni yenu inalipa kodi? eg. VAT, PAYE, SDL, corporate tax etc. imesajiliwa lini? inajishughulisha na nini? mna business licence? certificate of incoporation ni namba ngapi? VAT REGISTRATION number ni ipi? shareholders ni wangapi? na ma - directors ni wangapi? ..
kama hujui chochote kuhusu hayo maswali hapo juu, usijaribu kuandika utumbo tena kuhusu hiyo "kampuni yenu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…