heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
- Thread starter
-
- #41
Do you take this rubbish serious?
Cjakuelewa haina maana kivip?
then kuna mwanamzik gan tz hii ambae dancer wake anawalipa kias cha kumudu kumilik gari?
kuna wanamzik wengne hwezo huo tu hawana
ukiona wafanya kitu na watu hawakuchukii
fahm uko chini sana zaid yao.
ukiona wakuchukia na kukupakaza fahm upo kwenye pick ya juu sana.they wish wangekuwa wao but.
hawawez wanishia kukusemea mbovu na kupakaza hta wasivyoviju .
Ni neno analopenda kulitumia Diamond na Bila shaka kuna watu wengi tu wanaojiuliza nin kilefu ama maana ya WCB.
kwanza ifahamike WASAFI.
siyo neno tu la kujifurahisha.kwamba diamond huwa analitamka tu .
WCB(WASAFI) ni brand name ya kampuni ya Diamond.
ambayo ndani yake inahusisha watu tofaut tofaut wanaosaidia/msaidia kaz zake za mziki.
kuna Yeye mwnyewe kama mkurugenzi.
kuna dancers.kuna wabunifu wake rasmi wa mavazi unayoyaona amevaa stejin na sehem zingne.na kwa kila onyesho linalokuwa lina mkabili.
hujadiliana na wabunifu wake ..ni nguo ya aina gan ibuniwe.
pia kuna mtu wa karibu anaehakikisha swala la usalama hususana awapo kwenye kind kubwa la watu.
kuna waandish wa nyimbo.
ana nwanamziki wake ambaye bado hajaamua kumtambulisha rasmi(na akimwachia rasmi,watu watatafutana)
kuna watu wa I.T
kuna watu wanaohusika na uandaaje na uwekaj kumbukumbu za matukio yote ya maisha ya diamond.nazungumzia showz zake.na mizunguko yake na matukio mengne mhim kuna watu wanaorekodi video na picha.popote unapomwona jua nyuma yake kuna wapiga picha wa video na still pics.kuna Dj wake na
kuna graphics designer.mamodo na waigizaj pia.
Hiyo ndio WCB.
ambayo kilefu chake ni WASAFI CLASSIC BABY.
ilichaguliwa baby ili kuhusisha jinsia zote.
weng wakisema b iwe badala ya Boys or brother .hapo wadada wangekua .
wamebaguliwa.na hao wafanya kaz wote hao ni vigum kuwashawish kuhamia kaz nyingine.mfano ukiacha wafnyakaz wengne.. dancers pekee.kwa Tz hakuna dancers wanaolipwa pesa nying kama wale.na hakuna mwanamzik anaeweza kumudu malipo yao.
They hatin eer day...we earning eer day
Wote hao anawalipa nini? mbona sijaona mwanasheria hapo?
Umeleta ujinga hapaa hebu nenda kwa ---- mwenzako unaongelea graphics nayo kazi sikuhizi kuna wachoma cd kariakoo wana fanya kwa ustadi na wewe una lopo mapera hebu rudini shule kwanza wewe uliye leta hii na diamond wako
Haya kumekucha!sijui mapesa mangapi unalipwa na huyo asali ya warembo??
Sawa kidume tunashukuru kwa taarifa..
Mpe pongezi Diamond,naona bado yuko vizuri kwenye game.
mwandiko wako tu
Ndo unaofanya nifungue nyuzi zako
Kama wa mtoto wa darasa la nne C
kwa kweli Diamond ni msanii anayepaswa kuwa mfano wa kuigwa hapa Bongo..ajawahi kutokea narudia tena ajawai kutokea msanii anaejua kujibrand na kufanya biashara ya muziki kama Domo,,nampa big up sana...anatakiwa aendelee kuwa profesheno zaidi atazidi kuwashangaza waTz .
sasa wewe ndio kichwa upande kabisa,,kuchoma cd uko kariakoo ndio kufanya graphics?? wewe ndio uludi shule..maana kama unafikiri kusoma ndio kutusua maisha we somaaa mpaka umalize degree zote alafu uji assess umefanikiwa nini ya ziada ya wasiosoma....
Tuachane na hadithi za huyo domo turudi kwako, mbona kuandika hujui? Kama kutype tu keyboard kunakushinda sasa ukikabidhiwa penseli ndio uandike si majanga matupu? Maana nimeogopa kusema ukikabidhiwa Peni kwa akili zako ushuzi ungedhani naiongolea papuchi ya Domo Penny.
sasa ndugu na wewe ulifikiria nin kujiita MSALANI .?? au huko kwenu ina maana tofauti na tunayoijua.?