WCB ya Diamond,kilefu na maana yake

WCB ya Diamond,kilefu na maana yake

ukiona wafanya kitu na watu hawakuchukii
fahm uko chini sana zaid yao.
ukiona wakuchukia na kukupakaza fahm upo kwenye pick ya juu sana.they wish wangekuwa wao but.
hawawez wanishia kukusemea mbovu na kupakaza hta wasivyoviju .
 
Cjakuelewa haina maana kivip?
then kuna mwanamzik gan tz hii ambae dancer wake anawalipa kias cha kumudu kumilik gari?
kuna wanamzik wengne hwezo huo tu hawana

kiswahili hujui kingereza hujui! upo upo tu...
ndo maana mabandiko yako hapa huwa unashambuliwa kama bundi aliyetoka mchana....again pull up your trouser
 
ukiona wafanya kitu na watu hawakuchukii
fahm uko chini sana zaid yao.
ukiona wakuchukia na kukupakaza fahm upo kwenye pick ya juu sana.they wish wangekuwa wao but.
hawawez wanishia kukusemea mbovu na kupakaza hta wasivyoviju .

Tuachane na hadithi za huyo domo turudi kwako, mbona kuandika hujui? Kama kutype tu keyboard kunakushinda sasa ukikabidhiwa penseli ndio uandike si majanga matupu? Maana nimeogopa kusema ukikabidhiwa Peni kwa akili zako ushuzi ungedhani naiongolea papuchi ya Domo Penny.
 
Ni neno analopenda kulitumia Diamond na Bila shaka kuna watu wengi tu wanaojiuliza nin kilefu ama maana ya WCB.
kwanza ifahamike WASAFI.
siyo neno tu la kujifurahisha.kwamba diamond huwa analitamka tu .
WCB(WASAFI) ni brand name ya kampuni ya Diamond.
ambayo ndani yake inahusisha watu tofaut tofaut wanaosaidia/msaidia kaz zake za mziki.
kuna Yeye mwnyewe kama mkurugenzi.
kuna dancers.kuna wabunifu wake rasmi wa mavazi unayoyaona amevaa stejin na sehem zingne.na kwa kila onyesho linalokuwa lina mkabili.
hujadiliana na wabunifu wake ..ni nguo ya aina gan ibuniwe.
pia kuna mtu wa karibu anaehakikisha swala la usalama hususana awapo kwenye kind kubwa la watu.
kuna waandish wa nyimbo.
ana nwanamziki wake ambaye bado hajaamua kumtambulisha rasmi(na akimwachia rasmi,watu watatafutana)
kuna watu wa I.T
kuna watu wanaohusika na uandaaje na uwekaj kumbukumbu za matukio yote ya maisha ya diamond.nazungumzia showz zake.na mizunguko yake na matukio mengne mhim kuna watu wanaorekodi video na picha.popote unapomwona jua nyuma yake kuna wapiga picha wa video na still pics.kuna Dj wake na
kuna graphics designer.mamodo na waigizaj pia.
Hiyo ndio WCB.
ambayo kilefu chake ni WASAFI CLASSIC BABY.
ilichaguliwa baby ili kuhusisha jinsia zote.
weng wakisema b iwe badala ya Boys or brother .hapo wadada wangekua .
wamebaguliwa.na hao wafanya kaz wote hao ni vigum kuwashawish kuhamia kaz nyingine.mfano ukiacha wafnyakaz wengne.. dancers pekee.kwa Tz hakuna dancers wanaolipwa pesa nying kama wale.na hakuna mwanamzik anaeweza kumudu malipo yao.
They hatin eer day...we earning eer day

kwa kweli Diamond ni msanii anayepaswa kuwa mfano wa kuigwa hapa Bongo..ajawahi kutokea narudia tena ajawai kutokea msanii anaejua kujibrand na kufanya biashara ya muziki kama Domo,,nampa big up sana...anatakiwa aendelee kuwa profesheno zaidi atazidi kuwashangaza waTz .
 
Umeleta ujinga hapaa hebu nenda kwa ---- mwenzako unaongelea graphics nayo kazi sikuhizi kuna wachoma cd kariakoo wana fanya kwa ustadi na wewe una lopo mapera hebu rudini shule kwanza wewe uliye leta hii na diamond wako

sasa wewe ndio kichwa upande kabisa,,kuchoma cd uko kariakoo ndio kufanya graphics?? wewe ndio uludi shule..maana kama unafikiri kusoma ndio kutusua maisha we somaaa mpaka umalize degree zote alafu uji assess umefanikiwa nini ya ziada ya wasiosoma....
 
Haya kumekucha!sijui mapesa mangapi unalipwa na huyo asali ya warembo??

Sawa kidume tunashukuru kwa taarifa..

Mpe pongezi Diamond,naona bado yuko vizuri kwenye game.

hivi mkuu,
kilichokukera mpaka ukasema hayo maneno ni kipi?

mbona uzi umekaa vizuri tu na hauna hata chembe ya uchochezi ama fitina?

kwanini unachukia usichokijua?

ama mleta uzi kakukwaza!?
 
kwa kweli Diamond ni msanii anayepaswa kuwa mfano wa kuigwa hapa Bongo..ajawahi kutokea narudia tena ajawai kutokea msanii anaejua kujibrand na kufanya biashara ya muziki kama Domo,,nampa big up sana...anatakiwa aendelee kuwa profesheno zaidi atazidi kuwashangaza waTz .

Nashangaa kuna mijitu inapiga kelele tu kwa wivu wa k*jinga j*nga.yaani hayo maelezo wanaona kama story vile
watanzania wachache sana wanaopenda mtu akipiga hatua.
 
sasa wewe ndio kichwa upande kabisa,,kuchoma cd uko kariakoo ndio kufanya graphics?? wewe ndio uludi shule..maana kama unafikiri kusoma ndio kutusua maisha we somaaa mpaka umalize degree zote alafu uji assess umefanikiwa nini ya ziada ya wasiosoma....

Kuna mijitu hum inajfanya inajuaa,mielevuu!!eti graphics ni kuchoma CD.
g
yani watu wamejawa chuk,chuk tuuu.
wacha tusio na elimu kichwan tuendelee kupiga mihela
 
Tuachane na hadithi za huyo domo turudi kwako, mbona kuandika hujui? Kama kutype tu keyboard kunakushinda sasa ukikabidhiwa penseli ndio uandike si majanga matupu? Maana nimeogopa kusema ukikabidhiwa Peni kwa akili zako ushuzi ungedhani naiongolea papuchi ya Domo Penny.

Well said mkuu,hata kuandika cjui kabisaa
.ila kwenye kuzitafuta faranga niko mzima kwel kweli,usijeshanga kukuta hunifikii hata kidogo kimaendeleo wewe hapo unaejua kuandika na kutumia keyboard.
 
Nimegundua raia hum hawana hoja za msingi ila wamejaa husda tuu na wivu wa kijanga.
mtasema yooote,sina elimu cjui nin na blah blah kibao.
niwaulize kitu.
Diamond ambaye ni msanii mkubwa siyo tu Tz bali Africa Pia.
maendeleo aliyonayo na anayoendele kuwa nayo.
Hiv kwa akili zenu atakubali kufanyiwa kaz na mtu/watu wasiokuwa na ueledi woote na kile wwnakifanya??mnafaham nimefanya nae kaz kwa mda gani?
huo udhaifu mnaopiga kelele hum hajauona mda wote huo.
yaani aendele kufanyiwa kaz na kutoa mihela kwa mtu asie na ufanis wowote??
MBADILIKE TUACHE CHUKI.MWENZIO UKIONA KAPIGA STEP FLAN KUKUZID KAMA HUWEZ KUMPONGEZAKAUSHA TU NA WEWE UFIKIKILIE NAMANA YA KUMZID .
NDIVYO MAISHA YANAVYOENDA.
nimalizie kwa kukumbusha tu kuwa.
the president yupo tayri kabisa kupiga show ya kihistoria,
hapo Guangzhou china,mliopo hapo
ni mda wenu sasa.
 
Katika wanamuziki ninaowakubali wa kibongo ni huyu mtu yaani anjitahidi sana kuulinda mziki wake kuliko viongozi wanavyojali viti vyao. Anaboresha kila siku, bigggggg up to u maaan. Unang'aa kama dhahabu like ur name.

Sent from my BlackBerry 8900 using JamiiForums
 
shoga yake ommy dimpozi katoa siri show za ughaibuni wanalipwa hela kiduchu bora hata ufanye show dar live mbagala...sasa nakuswalika swali ww unaemfunga zipu kabla ya show huyo mmanyema analipwa hela ngapi kwa show?
 
Back
Top Bottom