heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
Ni neno analopenda kulitumia Diamond na Bila shaka kuna watu wengi tu wanaojiuliza nin kilefu ama maana ya WCB.
kwanza ifahamike WASAFI.
siyo neno tu la kujifurahisha.kwamba diamond huwa analitamka tu .
WCB(WASAFI) ni brand name ya kampuni ya Diamond.
ambayo ndani yake inahusisha watu tofaut tofaut wanaosaidia/msaidia kaz zake za mziki.
kuna Yeye mwnyewe kama mkurugenzi.
kuna dancers.kuna wabunifu wake rasmi wa mavazi unayoyaona amevaa stejin na sehem zingne.na kwa kila onyesho linalokuwa lina mkabili.
hujadiliana na wabunifu wake ..ni nguo ya aina gan ibuniwe.
pia kuna mtu wa karibu anaehakikisha swala la usalama hususana awapo kwenye kind kubwa la watu.
kuna waandish wa nyimbo.
ana nwanamziki wake ambaye bado hajaamua kumtambulisha rasmi(na akimwachia rasmi,watu watatafutana)
kuna watu wa I.T
kuna watu wanaohusika na uandaaje na uwekaj kumbukumbu za matukio yote ya maisha ya diamond.nazungumzia showz zake.na mizunguko yake na matukio mengne mhim kuna watu wanaorekodi video na picha.popote unapomwona jua nyuma yake kuna wapiga picha wa video na still pics.kuna Dj wake na
kuna graphics designer.mamodo na waigizaj pia.
Hiyo ndio WCB.
ambayo kilefu chake ni WASAFI CLASSIC BABY.
ilichaguliwa baby ili kuhusisha jinsia zote.
weng wakisema b iwe badala ya Boys or brother .hapo wadada wangekua .
wamebaguliwa.na hao wafanya kaz wote hao ni vigum kuwashawish kuhamia kaz nyingine.mfano ukiacha wafnyakaz wengne.. dancers pekee.kwa Tz hakuna dancers wanaolipwa pesa nying kama wale.na hakuna mwanamzik anaeweza kumudu malipo yao.
They hatin eer day...we earning eer day