sawaYaan jamaa siku hiz umekuwa mzembe sana
Unacheza Taekwondo kwa Sensei Prosper, Richard, Jose, au yupi?Whatsapp Twitter Facebook
World Taekwondo Federation
[emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji3] nadhani unamaanisha hivyo ee
Bado sijaanza kucheza TaekwondoUnacheza Taekwondo kwa Sensei Prosper, Richard, Jose, au yupi?
ipo kama jina tu ila haisikiki... kila kitu huwa na kuisha kwa radhaHiyo bado ipo kiongoz
Poa mkuuLabda kwa kuwa mie nipo sayari ya pluto huku, vinanifikia vitu vya past tense..
Ila nahisi mleta mada anaongelea miaka 10 mbele.
Sina ushabiki daima, huwa napenda vitu vizuri tu, sidhan km wamekwisha kma unavyodai, kwan si juzi tu huyo ray vanny sijui kabeba tuzo, katoa singo matata "unaibiwa" mondi domo nae kabeba tuzo, mavoko katoa kitu kizuri ft pantoranking(au kwa kuwa hii nyimbo kanitumia mtoto wa kike ndio maana nimeiona tamu)[emoji23] [emoji23]
Wengine sijui sababu sifatilii sana.
Namsikiaga tu humu JF hata sijui ni naniNdo nan huyo bashite