WCB yawa zilipendwa masikini

WCB yawa zilipendwa masikini

Asante, mbona timu yenu tuzo ni za nadra sana, kuna matatizo gani kwenye fomesheni yenu ya mchezo????
Team gan steve unamanisha?

Mbona mimi sinaga team mkuu nilikuwa natoa yangu ya moyon tu
 
Labda kwa kuwa mie nipo sayari ya pluto huku, vinanifikia vitu vya past tense..

Ila nahisi mleta mada anaongelea miaka 10 mbele.

Sina ushabiki daima, huwa napenda vitu vizuri tu, sidhan km wamekwisha kma unavyodai, kwan si juzi tu huyo ray vanny sijui kabeba tuzo, katoa singo matata "unaibiwa" mondi domo nae kabeba tuzo, mavoko katoa kitu kizuri ft pantoranking(au kwa kuwa hii nyimbo kanitumia mtoto wa kike ndio maana nimeiona tamu)[emoji23] [emoji23]

Wengine sijui sababu sifatilii sana.
Poa mkuu
 
Hata CR7 siku hizi amepwaya [HASHTAG]#hakuna[/HASHTAG] marefu yasiyo na ncha#
 
Back
Top Bottom