Tuwe na tabia ya kukashifu jamani
Unajua MRNA injections ni nini?
Hiyo clip umefuatilia ukahakiki inatoka kwenye chanzo cha kuaminika?
Kuna mengi hapa yanapaswa kuwekwa wazi ndo tujadili
Haya mfano hilo neno 'transhuman' maana yake ni binadamu aliyekuzwa uwezo kwa kupewa madawa au kufanyiwa marekebisho fulani
Sasa mtu mwenye uwezo kuliko kawaida ni sawa na ng'ombe
Na hapo hatuna context kama wanaongelea chanjo, na ni chanjo gani haswa