We are now classed as cattle, listen carefully!

We are now classed as cattle, listen carefully!

Kuna watu walikuwa hawaambiliki kuhusu chanjo hapa nchini. Walikuwa wanaisapoti na kuipigania as if imetengenezwa na baba zao na wanauhakika kwa 100% kuwa haina madhara.

Mataifa ya magharibi yana upendo gani hadi yaandae program kwa gharama zao waje wakupe ww free of charge kwa faida yako?

Kuna watu ni takataka sana aisee.
 
Tuwe na tabia ya kukashifu jamani

Unajua MRNA injections ni nini?

Hiyo clip umefuatilia ukahakiki inatoka kwenye chanzo cha kuaminika?

Kuna mengi hapa yanapaswa kuwekwa wazi ndo tujadili

Haya mfano hilo neno 'transhuman' maana yake ni binadamu aliyekuzwa uwezo kwa kupewa madawa au kufanyiwa marekebisho fulani

Sasa mtu mwenye uwezo kuliko kawaida ni sawa na ng'ombe

Na hapo hatuna context kama wanaongelea chanjo, na ni chanjo gani haswa
 
Back
Top Bottom